Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Mkuu ushawahi kumwambia Come over mamy?

Sisi wanawake kiasili ni wafukuaji vitu, Ni ma-Tomb Raider wazuri tu.

Na hii inakuja pale unapo-notice viashiria sivyo ndivyo, unajikuta tu umejijengea hoja. Pia kwakua mmeshakua mwili mmoja basi huwaga tuna sense na 70% huwaga kweli!

- Jambo lingine ; Tunajuaga wanaume ni wadhaifu hawawezi kuishi bila mwanamke sasa anaona mzee umeuchuna na hauna sababu za kivile lazima ashtukie.

-Mkipendana viuchokozi vya kununa nuna ni ibada[emoji2] Bembeleza mamsapu mkuu
 
Ha ha ha.... Maneno mujarrabu kama alkasusu
 
Kuna mambo mawili Kaka.

Mkeo kalipiza kisasi sasa anadhani unaweza kufahamu sasa anaanza kupretend mapema ili akuvuruge uchanganyikiwe na usiweze kufuatilia kabisa .

Alipandwa na ngenye Kwa hiyo akikukumbuka anajikuta anataman awe na wewe. Lkn anaona uko mbali kiasi kuwa hawezi kinakuja kuumizwa Tu kwenye hisia zake

Mwanamke anamlango mkubwa Sana kiroho anaweza kuona, kujua kinachotikea anaweza kukutega na ukaingia kwenye mtego wake.

Mlango huo usipoufunga atakusumbua Sana
 
Mlango huo unafungwaje mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ukitaka kujua nini anawaza, subiri simu yake ya kwanza kisha waza kinyume.
 
Siwezi acha kutoa kitu kilicho jeruhi moyo wangu na hivi vitu wanaume hupuuza lakini huua hisia za mapenzi na kubaki kuishi kimazoea tu.
Kama ninavyoishi Mimi na mke wangu kwa sasa ,yani bifu kila siku mambo ya 2011 hadi leo anayaleta,nashukuru sikai nae karibu manake amekua kero tu,tunalea watoto maisha yaende
 
Kama ninavyoishi Mimi na mke wangu kwa sasa ,yani bifu kila siku mambo ya 2011 hadi Leo anayaleta,nashukuru sikai nae karibu manake amekua kero tu,tunalea watoto maisha yaende
Ndio maana mimi kuendelea na mtu aliyenikera to the maximum na kusababisha pain huwa nakata mawasiliano na kuishi naye siwezi kutonesha kidonda changu maumivu na trust ukiwa hamna ndio tena sitaki kabisa.
 
Kwanza kabisa kukumbushia ya nyuma ni dalili ya kinyongo na hata kama mliyasuluhisha inaonesha bado hajakusamehe. Pili swala la kukumbushia ya zamani mara nyingi utakuta anatafuta sababu ili na yeye apitie humo au tayari anapitia, hivyo huwa ni kama defence mechanism yake ili hata siku ukigundua ukweli atadefend kuwa hata wewe mbona ulifanya hivyo....
Endelea kuchunguza kamanda....
Wilco out!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…