Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Tunapendaga kutikisa kiberiti na hii ni nature ya ke sasa wewe kitendo cha kulipuka ni ishara tosha kuna mambo bado unayaendekeza nikwambie tu kuna file jipya umelifungua
Wanawake huwa wanatenda vitu bila hata kufikiria ila sasa jinsi mwanaume atakavyodili na hivyo vituko ndio itaashiria kuwa ndoa ipo au itavunjika
 
Madhara ya kuongea na simu usiku wa manane..mnaongea simu masaa mawili kila siku usiku mnadhani mtaongea nini zaidi ipo siku mtapalangana tu..
Ha ha ha mnatafuta Cha kuongea mnakosa. Mnaanza kufukunyuana
 
Kuandika Uzi wa mapenzi asubuhi subuhi haimaanishi kwamba hatujengi Taifa. LAA!

Muhali gani wapendwa? Nawaombea muwe na afya njema.

Ni swali fupi tu
JE NINI KINAFANYA MTU KUFUKUA MAKABURI (MAMBO MAOVU) YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NYUMA?

Hujawajua wanawake huwa hawasahau hata kama ni miaka 50 iliyopita.
Utashangaa umezeeka zako una miaka 80 unaumwa mke na yeye ni kikongwe ila atakuambia wale wanawake zako uliokuwa unahangaika nao wako wapi? Si waje kukuuguza.
Ukimkuta mkorofi nzaidi atakutajia jina mpk eneo na hao michepuko wako.
 
Hawasahau, hilo ni kawaida kiongozi. Kuna statement niliongea nyuma huko labda 5yrs, hadi leo kuna siku utashangaa mtu anakumbishia.
 
Back
Top Bottom