miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ha ha ha ndioooo... yaani ajuee kabisaaa... sitaki masikharaaMwambie huna reli kifuani... Ila usije kumchoma Moto tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ndioooo... yaani ajuee kabisaaa... sitaki masikharaaMwambie huna reli kifuani... Ila usije kumchoma Moto tu.
[emoji23]Saingine mwanamke anaanza visa visa akiwa tayari ana mtu wa kumkuna nje huko so hataki umguse siku hio! Anakunyoosha tu na makelele kukutoa kwenye raiti traki!
Karibu mkuu....Aksanta Sana nasi tunakuja huko mliko taratiiiibu
Huwez satisfy mwanamke by 100% hata uwe na hela dunia nzima! Zitamfurahisha kwa muda tu japo wengi wanahisi ndio suluhu![emoji23]
Ni kweli, ila manzi akuchepuka kuna vitu anavikosa, hatuwezi kua 100% sawa ila walau 80%---90% itasaidia kumfanya mwanamke kutuliza wenge
Ndio maana nikasema inabidi walau ufike kuanzia 80%--90%Huwez satisfy mwananke by 100% hata uwe na hela dunia nzima! Zitamfurahisha kwa muda tu
Maumivu ya kihisia ni mabaya sana heri physical pain unaweza ipatia tiba ila emotions pain yasikie tu, na kumpata mtu mwenye huruma na utu kwenye mapenzi sikuhizi ni nadra sana tu.Yaani haya majeraha hayaponagi aisee. Yaan hayaishagi. Na huwa namsimuliaga partner wangu ila anaona kama vile namfanyia kusudi kumrusha roho ama kumuumiza kumbe hapana. Ni tahadhari nampa ili asije fanya alichonifanyia aliyepita. Unajua bwana, maumivu ya mapenzi hayazielekagi. Hata siku moja. Na kadiri unavyoexperience ndo yanachoma balaa.
Kumpata sasa huyo mwenye huruma akakuelewa ndo interview job kama ya CNN. Ni ngumu sana kukuelewa. Yaan havisahaulikagi hata kama tumesamehe. Very hard. Nina imani kuputia hii thread atleast wamepata ABCD kidogo.Maumivu ya kihisia ni mabaya sana heri physical pain unaweza ipatia tiba ila emotions pain yasikie tu, na kumpata mtu mwenye huruma na utu kwenye mapenzi sikuhizi ni nadra sana tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe jau sanaKwanza nataka ujue kua uanaume ni kung'ang'ana. Hata kama umeshikwa na sms kataa sema siyo yako yaani hata iweje, na ndiyo maana wanaume tuna wale washkaji ambao likitokea la sms unasema hii ni ya fulani.
Na akipigiwa hakatai.
Ila mshkaji wa hivi hatakiwi mtu wake na mtu wako wajuane.
Pili kwakua uanume ni kusaidiana nataka nikwambie kwamba huyo ataendelea kukunyanyasa juu ya hilo swala mpaka upate dawa yake.
Dawa yake, nipe namba yake. Niambie muda gani upo home nampigia najiongelesha ni mpenzi wake na kila kitu. So na wewe utapretend kununa. Akianzisha mada ya huyo mchepuko we unaanzisha mada yangu
Ni noma sana aiseeNdio maana nikasema inabidi walau ufike kuanzia 80%--90%
Unajua hawa watu ni Kua tunawahitaji so hakuna namna isipokua Kua nao na kujitahidi kufanya asikuaibishe pia......maana akiwa bonywabonywa itakua aibu kwetu Kusikia mke wa fulani ni kufuli bovu, kila funguo inafungua [emoji23]
Mwanamke anaweza kusema YES akamaanisha NO and its vice versa.Huwez satisfy mwanamke by 100% hata uwe na hela dunia nzima! Zitamfurahisha kwa muda tu japo wengi wanahisi ndio suluhu!
Mwanamke anapenda kitu flani kwa muda mchache kisha anakinahi[emoji3] ukiwa na mfumo mmoja wa maisha naye anakuchoka
wao wanasema hawapendi [emoji2][emoji2][emoji2]He he he yaan hawaelewagi tukilalamika tunatama tufanyweje. Na wao wanaamsha popo. A man should be sweet and gentle bana. Nikianza kulalamika nibanie kifuani, kiss me, nipe hata story za bulicheka huko. Nibembelezee uone kama nna ujanja.
Ilaaa naapeendaaa kudeeeekaaaa mimi jamanaiiii[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] ujue rahaaa. Sasa mtoto wa kike usideke kuna raha gani zaidi tena hapa duniani
Ha ha ha hatari sanaa. Balaa... ndo kujihami panapoanziaga. Visa kama laki hiviwao wanasema hawapendi [emoji2][emoji2][emoji2]
tatizo lingine mwanaume anakosa kujiamini juu yako, bado ana wanawake mia kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama movie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hebu ilete mkuuMim nilifumaniwa na wife nikiwa na dada wa kazi, yaani Nimemkunja chuma mboga napiga tako's zangu kiroho mbaya Sina hili wala lile.
Mara paaaah wife huyu hapa! alafu sasa, alijikausha kidogo akiangalia lile tukio. Sàsa kidume katika kuukamatia na kujipimia mzigo si ndo nikageuka? Laaa hawla, nakutana na wife Kawa mwekundu huku machozi yakibubujika.
Aisee ngoja niishie hapa [emoji26]
Nahisi wahuni wanamkwangua kwangua huko[emoji777]Kama yupo mbali basi huyo kamiss dyudyu tu...
Kuna wadada wakimiss dyudyu huwa wanajifanya kuanzisha tifu
Ninachoamini ni kwamba anaonekana ana hamu ya kuchapwa tukio jingine machoni mwake....Eti si yaliisha!! Weee yanaishaje kwa mfano? Tutayafukunyua tu hadi ipite miaka 1000.
KabisaNdio maana nikasema inabidi walau ufike kuanzia 80%--90%
Unajua hawa watu ni Kua tunawahitaji so hakuna namna isipokua Kua nao na kujitahidi kufanya asikuaibishe pia......maana akiwa bonywabonywa itakua aibu kwetu Kusikia mke wa fulani ni kufuli bovu, kila funguo inafungua [emoji23]
Hahaha we Mzee hivi SHARAUTI huwa ni salam au appreciation?Kuandika Uzi wa mapenzi asubuhi subuhi haimaanishi kwamba hatujengi Taifa. LAA!
Muhali gani wapendwa? Nawaombea muwe na afya njema.
Ni swali fupi tu
JE NINI KINAFANYA MTU KUFUKUA MAKABURI (MAMBO MAOVU) YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NYUMA?
Mpenzi wangu na mama mtoto wangu ambaye yuko mbali na mimi kwa sasa, Jana tulijikuta katika malumbano makubwa baada ya yeye kuanza kuniuliza kuhusu mambo flani mabaya ambayo niliyafanya Miaka ya nyuma.
Jambo lenyewe ni kwamba alinikuta na dalili na nyaraka zote zinazoonesha kuchepuka. (Nilikataa kata kata ingawa ilikuwa kweli)
Lakini mambo yalikwenda na yakaisha kwa amani na upendo ukaendelea.
Ajabu ni kwamba jana baada ya kukosa cha kuzungumza akaanza kunikumbusha yale mambo. Na sio kunikumbusha tu bali alijipanikisha baada ya kukumbuka lile tukio kana kwamba limetokea sasa hivi.
Nikamuuliza kwani mbona masuala yalishaisha? Au Kuna nini tena ?
Nikaona huku sasa ni kuzoeana vibaya. Nikaanza kumfokea na kuanza kujibizana hadi usiku mkubwa. Nikampiga biti na kumwambia kwamba KAMA UMECHOKA KUWA NA MIMI JIKATAE MAPEMA KUNGUNI WEE!
NIKABAKI NA MASWALI HAYA!
1. Hisia zake zimempotosha kwamba kwa sasa nachepuka kwa sababu niko mbali naye?
2. Amepata baharia mpiga makasia sasa ananikumbusha kwamba anauliza?
3. Amenichoka?
4. Kuyumba kwa uchumi kumempagawisha?
5. Mabadiliko ya hormone kwa kuwa ana muda mrefu hajafanya mapenzi? (Kwa MUJIBU WA imani yangu[emoji1])
6. Amechoshwa na kasumba zangu
Au nini shida?
NB
Sharauti sana kwa wanangu wote mlio oa ama kuishi na Mwanamke kwa muda mrefu.