Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
Mkuu ushawahi kumwambia Come over mamy?
Sisi wanawake kiasili ni wafukuaji vitu, Ni ma-Tomb Raider wazuri tu.
Na hii inakuja pale unapo-notice viashiria sivyo ndivyo, unajikuta tu umejijengea hoja. Pia kwakua mmeshakua mwili mmoja basi huwaga tuna sense na 70% huwaga kweli!
- Jambo lingine ; Tunajuaga wanaume ni wadhaifu hawawezi kuishi bila mwanamke sasa anaona mzee umeuchuna na hauna sababu za kivile lazima ashtukie.
-Mkipendana viuchokozi vya kununa nuna ni ibada[emoji2] Bembeleza mamsapu mkuu