Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Sasa wee umenena....

[emoji3578][emoji736]
 
Ni kutokujielewa huko mimi nikufumanie direct hafu eti nijifanye kusamehe mbona ngumu hyo, kafanyie uchafu mbali huko kah
[emoji23][emoji23][emoji23] basi me nitakua fala. Inategemea. Kuna time nasamehe. Ila kama umenitesaaa na dharau na kejeli, nikikushika yaan nakuaga mtu mwingine. Dharau yangu ni kutosema kitu. Kimya kimya. Ila people are too fake
 
Na watoto wanamtenga baba[emoji23][emoji23]

Rest in peace in advance, hapo sukari, presha vikiambatana na ukimwi kama kawa
 
Ha ha ha ha kila sa aunamkumbushia eh[emoji23][emoji23] u akumbuka umenicheat?
Ndio nakumbushia, ila nilichojifunza wanaume hawapendagi kukubushwa madhambi yao kweli hukosa Raha nakuwa wakali
 
[emoji23][emoji23][emoji23] basi me nitakua fala. Inategemea. Kuna time nasamehe. Ila kama umenitesaaa na dharau na kejeli, nikikushika yaan nakuaga mtu mwingine. Dharau yangu ni kutosema kitu. Kimya kimya. Ila people are too fake
Kusamehe inatakiwa usikumbuke kabisa sasa kukumbuka inakuwa hujasamehe
 
Kuna bingwa amesha occupy space moyoni mwake
 
Wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…