Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Tunaenda wapi kwani [emoji15]hapo tunaenda sawa
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaenda wapi kwani [emoji15]hapo tunaenda sawa
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwamamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.Mkuuu,,, imeandikwa naye mwanamke ataachana na wazaz wake nakuambatana na mumewe ..nadhan hii ndo sababu .... .
Asalaam alekhum!
Tumsifu yesu kristo!
Bwana asifiwe!
Mambo
Tuna majina yetu ya asili tuliyopewa Na wazazi au walezi wetu tunayapenda Na kuyathamini
Ila kwa wanawake wengi wao wakisha olewa basi hupoteza surname yao Na kuanza kutumia surname au jina la ukoo la mwanaume
Je kwanini hivi kuna faida yeyote ya mke kuhama ukoo?
Utasikia mtu anaitwa mama john wakati mumewe ndio john Na yeye labda ni Joyce Marko
Karibuni
DJ sepetu
Kwa hiyo inafaa wafanye blending! Ya majina!Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwamamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapahapa JF
SawaHapahapa JF
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App