Mwanamke kuhama ukoo baada ya ndoa!

Mwanamke kuhama ukoo baada ya ndoa!

Mkuuu,,, imeandikwa naye mwanamke ataachana na wazaz wake nakuambatana na mumewe ..nadhan hii ndo sababu .... .
Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwamamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Asalaam alekhum!

Tumsifu yesu kristo!

Bwana asifiwe!

Mambo

Tuna majina yetu ya asili tuliyopewa Na wazazi au walezi wetu tunayapenda Na kuyathamini

Ila kwa wanawake wengi wao wakisha olewa basi hupoteza surname yao Na kuanza kutumia surname au jina la ukoo la mwanaume

Je kwanini hivi kuna faida yeyote ya mke kuhama ukoo?

Utasikia mtu anaitwa mama john wakati mumewe ndio john Na yeye labda ni Joyce Marko

Karibuni

DJ sepetu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom