Mwanamke kukata mawasiliano na mumewwe!


“Alienda chuo cha mbali “. Bad mistake
 
Aaah wapi!! Ubusy hutofautiana kati ya mtu na mtu. Kuna wale ambao wao wapo tu shule ilimradi wapate vyeti. Na kuna wale wasongo.
Mke wa jamaa ni msongo hivyo muda wa kubebishana hana.

Kuna aina mbili ya watu, yule kweli yuko busy but anapopata nafasi anakucheki, halaf kuna yule ambae nafasi yako kwake haipo, awe busy asiwe busy they dont care.

Ukishajua position yako kwa mtu wala haikusumbui.

Iko hivi kwa wanandoa, mtu akiwa busy mpaka anamsahau mwenzie ,huo si ubize ni priority . Amechagua anachokifanya over mwinzie. And thats it
 
Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
Amepata wa kumgonga akiwa Chuoni vipi alishamzalisha watoto wangapi kabla ya kumruhusu kwenda Chuo ?
 
Wazungu wenyewe walishasema " Out of Sight out of Mind*

Imetoka hiyo😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…