Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ana tabia kama za cute wife huyo. Hapo mwabie hana chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau ipo hivi.
Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini
Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
Aaah wapi!! Ubusy hutofautiana kati ya mtu na mtu. Kuna wale ambao wao wapo tu shule ilimradi wapate vyeti. Na kuna wale wasongo.
Mke wa jamaa ni msongo hivyo muda wa kubebishana hana.
Amepata wa kumgonga akiwa Chuoni vipi alishamzalisha watoto wangapi kabla ya kumruhusu kwenda Chuo ?Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje