Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

Wengine tuliooa kwa kuwanunulia wake zetu miguu ya kuku.. Tunatapa tabu.
 
Wanawake wengi ni wavurugaji wakubwa wa mahusiano kutokana na kujaa tamaa na kukosa utimamu wa kisaikolojia na kubaki kuishi kwa hisia....adui namba moja wa mwanaume ni mwanamke, chukulia mfano wa Adamu na Hawa.........jiwe gizani hilo.
 
Kwa hawa hii ni zaidi ya pesa

pesa muhimu ila si kila kitu
wanaume kubalini ukweli
 
Wakati mimi nilipokuwa napesa mpenzi wangu ajawahi kuniita jina langu alikuwa ikiinita darling miaka 8 nilipoanzakuishiwa pesa jina la darling likapotea nikawa naitwa jina langu Hamisi kwa mwaka 1 aliponichoka kabisa akawa haniite jina ni wewe mbona unafanya hivi wewe njoo wewe nataka kitu hiki
 
Nani ngoja niseme,ninachofahamu,mwanamke kabla ya kuanza kuishi na wewe,anamulika tochi na kuangalia,siku zijazo atafaidikaje au atanufaikaje,akiishi na wewe,akiona kwamba huko mbeleni siku zijazo hatofaidika na wewe ujue atavunja mahusiano na wewe,anytime.
 
.
FB_IMG_1630768553230.jpg
 
Don’t be deceived, self interest rules the world

“ a wise man knows that when men are looking for him they are not looking for him but what they can gain through him “
Balthasar Gracian, Jesuit Father 1600s
 
Da nisaidie huyu jamaa ana mishe gani hapa duniani mpka hii tandamu ikamwelewa?.
Ni msanii ana pesa ndefu.Hio tandam imefata mzigo.Kabla site za ashiki azijafungwa jamaa live alikuwa akipakia mzigo.Anaitwa Grand P
 
Zari la mentali limetokea na kitimtim.................nikawaacha watu wote wakinishangaaa ktk mitaaa[emoji23]sorry niko nje ya mada
Walaa haupo nje ya mada we endelea kuimba kuna watu huku nje tunakuskiliza

Eheee ikawaje........
 
Back
Top Bottom