na huku sio kuhonga ni kubadilishana vijizawadi
hivi mpenzio akiwa na mood nzuri akakutoa out au kukunulia kitu ukipendacho, hiyo ni kukuhonga au vipi? hapa siongelei shugamami bali watu wenye kipato sawa
mimi mwalimu wa primary hivi mwanaume mwenye kipato cha chini yangu si ina maana hana kitu kabisa jamani? huyo simtaki loh!Ndio, tegeka basi.
Toa maoni basi, nataka kufanya :baby:tukio mahali.
Kwanza hii dhana ya kuhonga inakuwepo kama hakuna mapenzi (hiari). Kama mmependana na mmoja wenu anampa mwingine kitu chochote kwa hiari yake hapo inakuwa kama zawadi tu au support (kusaidiana). Suala la kuhonga linakuja tu kama mmoja (aghalabu anayependa/anayetamani) anatoa vitu kwa mwingine ili kupata au kulinda 'penzi' lake (asipotoa vitu hivyo hapati penzi au linaweza kuvunjika)...Labda nitoe mfano
Mdada ana kipato kuliko mpenzi wake (ikimbukwe si mme)
Na kuna vitu ambavyo anataka kumpa ili waende sambamba
vinaweza kuwa vitu vidogo vidogo kama mavazi n.k na aina hizo za huduma.
Je hii imekaaje? Inakubalika machoni pa walaji?
Na kama wewe ni mkaka mwanamke akikupa vitu hivyo utajisiakiaje?
check post za Smile kujua shugamami ni nani?Shugamami ni mtu wa aina gani?
Je wakati mwanamke ana kipato kuliko mwanamme asimtoa 'out'?
Nadhani ikitokea mdada akamnunulia mkaka lets say gari (ni wapenzi na sio wachumba) hapo moja kwa moja mdada kahonga, na kweli atakuwa ni KIAZI KIKUU ila vitu vidogocidogo kama boxer na vile vificha majina yetu huko sio kuhonga bwana, mi huwa naita marupurupu!
Umenichekesha sana, kwa hiyo wewe kwako gari ni kitu kikubwa sana??
Let's say mdada anaingiza 15m kwa mwezi, vitz ya 8m kwa mkaka ni kitu gani?
hapo ukute mdada anatembelea hata harrier tu, afu kaka kutwa kucha kwenye daladala, so kumwezesha kutembelea kalio kwa vitz ni mbaya?
Kwa ninavyojua kuonga maana yake unatoa kitu fulani ili uweze kupata kitu fulani,mathalani;mwanaume humuonga mwanamke ili labda kumvuta katika hisia zake kimapenzi au vinginevyo,watu wakishakuwa kwenye mahusiano pia wanaweza kuhongana.mpenzi akiniletea zawadi ya boxer,tisheti na mengineyo hizo zinakuwa ni zawadi na sio hongo and the same to me nikimnunulia zawadi girlfriend haiwezi kuwa ni hongo.Mwanamke ambaye sipo naye katika mahusiano na akaonyesha binafsi kuwa na hisia za kimapenzi kwangu na akaniletea vitu mbalimbali hiyo itakuwa ni hongo kitu ambacho ni haki yake sema tu jamii yetu tumeshajenga imani kuwa anayetakiwa kuhonga ni mwanaume tu kitu ambacho si kweli.kama nimejieleza vizuri nashukuru ila kama nimeboronga au kukosea naomba mnisahihishe.
Ndo mana nikakwambia huyo wa kununua vitz ni kiazi kikuu na huko ndo kumhonga mwanaume, mi sio mwanamke ila kama ningekuwa mwanamke hata kama per month naingiza 40 million, simnunulii mwanaume hata used vitz ya million 1. Ni mtizamo wangu tu Kongosho
kama kweli unampenda, utampiga tafu ili muende sambamba... changamoto ni pale unapompiga tafu, halafu na yeye anakwenda kutangaza udume nje ya uhusiano wenu
mjue kitu kimoja wanaume vitu vingi huwa wanafanya for love ,but wanawake hatupo hivo...
mjue kitu kimoja wanaume vitu vingi huwa wanafanya for love ,but wanawake hatupo hivo...
nadhani wanaume mmeumbwa kupendaAlaaaa....kumbe!?!?