Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Ushamba tu unasumbua....
 
Oooos wametusaidia, nikija nitazisaka
Basi mie nilianza ziona za chupa,siku moja Naenda kununua naambiwa 50k nikasema ghkeee!!! Mbona bei imepanda Mara 5 yake,ndio nikaonyeshwa ya box...nikajua kumbe ziko na za box...enjoy it dear..
 
Basi mie nilianza ziona za chupa,siku moja Naenda kununua naambiwa 50k nikasema ghkeee!!! Mbona bei imepanda Mara 5 yake,ndio nikaonyeshwa ya box...nikajua kumbe ziko na za box...enjoy it dear..
Thanks darln
 
Mbona mi napiga hivyo vi tequila hata silewii ,na hapo nishakunywa bia

We dina wewe nahisi akil zetu zinaendana ahhahahahaah ......... maana inafika kipind whisky hulewi inabidi uaanze na bia au cocktail kama sehemu sio ya kunywa bia !!!
 
njaaaa
 
Mimi chausiku wangu anakataga mijibapa kama mitatu kila nikimtoa out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…