Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio cost ya uzinzi we usilalamikeSi unajua ile umemtoa mtu sehemu unamuulizia anahitaji kinywaji gani utasikia" Lobertson" akimaanisha Robertson.
Unaona shiyo ishu unaagiza huku wewe ukipunguza machungu kwa kunywa local bia ingawa si type yako as umezoea kunywa Heinkein,Whindhoek na vingine vya juu.
Unashangaa gashi amekunywa chupa ya kwanza ya wine chupa ya pili, chupa ya tatu, cha ajajbu zaidi anajaza glasi mpaka inataka kumwagika.
Jamani jamani huu siyo ushamba kweli jamani!
Wine ni kinywaji cha wastaarabu, kama umezoea kunywa viroba usinywe wine ili ulewe kama umekunywa viroba.
Ambazo si kali twende kazi?Natania bana😅😅. Mimi na pombe kali hapana kabisa