binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kuchakatwa, kugegedwa (kwa lugha ya JF)Kushenyetwa maana yake nini mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchakatwa, kugegedwa (kwa lugha ya JF)Kushenyetwa maana yake nini mkuu ?
Hii ni biology mkuu na huwa haiongopi. At 45 ndiyo menopause na huwa ikifika k inaanza kusinyaa, haitakibkuingiziwa chochote na hata lubricants hutoweka.Uko sure kweli kiongozo wanakata moto at 45?, sasa hawa MILF wanatokea wapi kiongozi au wanatumia mkongo na wao?
Mkuu umeeleza kila kitu, maoni yako haya ndiyo yalipaswa kuwa mada kuu.Ni mwiko, hauwezi kukuta popote linaongelewa jambo hili hata siku moja.
Na cha ajabu mwanaume ukimzidi mwanamke umri wa miaka 15, tayari atakuita mbabu kwa unyanyapaa, wanapenda kuolewa na wa rika lao ama u-' Emmanuel Macron'.
Kiukweli mwanamke akifikia menopause, wengi hupendeza sana kwa haiba zao na huvutia kwa matumizi ya kitanda kama vile wanavyokuwa wakivunja ungo!
Sasa mezea mate umgusie 'yale mambo yetu' usikie majibu yake.
Ndiyo maana wanandoa smart walio wengi, utakuta wamependeza hadi watu wanawatamani kwa life style yao, kumbe siku nyingi wanakuwa washatengeneza 'kaya' mbili ndani ya nyumba moja, kila mtu asubuhi akitokea chumbani mwake na hapo mwenye hasara ni mwanaume ambaye ndiye huwa kakimbiwa.
Kumbatio la huba na utani wa kichokozi wa usiku wa wanandoa huwa automatic ushapigwa marufuku kila mtu na hamsini zake, mwanamke furaha yake hubakia ni kuwaza ma miradi na kucheza na wajukuu!
Kijana unapooa chagua kasichana dogodogo iwezekanavyo ili huduma zote 'nzuri nzuri' uendelee kuzipata hadi utakapokata moto.
U-'Emmanuel Macron' wenu mtapata tabu sana uzeeni, huchekewi wala hutabasamiwi na mtu na utatengwa na kulala peke yako bila kujali baridi lililopo na kila saa ukichungwa na simu yako kukaguliwa imeongea na mwanamke gani kulaleki.
Teminology za pon😅Uko sure kweli kiongozo wanakata moto at 45?, sasa hawa MILF wanatokea wapi kiongozi au wanatumia mkongo na wao?
Nimeongelea hekima sio shurti, ni kweli una haki ya kukataa au kukubali lakini pale unapoona uenda kuna jambo fulani utashindwa kumtimizia mwenzako busara ni kukataa.Princess,
wewe ndio mtu pekee unayetamani tuwafukuzie wanaume kama dhahabu, hautaki kukubaliana na ukweli kuwa bado dunia inaoperate katika misingi yake ya uzamani “traditional” ijapokuwa kuna mabadiliko ya kimaendeleo kedekede.
Tunatongozwa, na tutakubali kwa wakati wetu.. kwa standard zetu… na si kila mmoja ana neema hiyo, kuna wanawake wana neema ya kutongozwa kwenye umri wote na rika lolote.
Kuna wanaume hawakuoa in their 20’30s au wanao remarry wako in their 40’s au 50’s unataka wakatongoze wanawake wa 20’s na teens? Kila mtu kwa mahitaji yake ana group analolihitaji.
Tunawakubali na wala hatutowakataa.
over 30 mbona kwenye menu wanafit tuHaha
Hao wanawake ndio wanaoa au wanaolewa? dhana kuolewa unaijua? Iko hivi… Mwanamke unakuwa umekaa zako mahali huna hili wala lile anatokea mtu anakuja kukwambia anataka kukuoa, Kwahiyo unataka kusema sababu nina miaka 35 nimkatae aliyekuja kutaka kunioa? Sasa mtu huyo anakuwaje hatendi haki wakati amekaa zake kaja kutongozwa?
Labda tuwaombe wanaume wajitendee haki waache kutongoza wanawake ambao wako 30+
Unajua kwanini hatuendelei hii nchi, sababu hajui solution ya mambo, Kosa anafanya mwingine accountable anakuwa held mwingine.
Kwa Africa km hujitunzi hata hio 45 ni mingi sana,Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.
Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.
Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.
Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
acha basiNi mwiko, hauwezi kukuta popote linaongelewa jambo hili hata siku moja.
Na cha ajabu mwanaume ukimzidi mwanamke umri wa miaka 15, tayari atakuita mbabu kwa unyanyapaa, wanapenda kuolewa na wa rika lao ama u-' Emmanuel Macron'.
Kiukweli mwanamke akifikia menopause, wengi hupendeza sana kwa haiba zao na huvutia kwa matumizi ya kitanda kama vile wanavyokuwa wakivunja ungo!
Sasa mezea mate umgusie 'yale mambo yetu' usikie majibu yake.
Ndiyo maana wanandoa smart walio wengi, utakuta wamependeza hadi watu wanawatamani kwa life style yao, kumbe siku nyingi wanakuwa washatengeneza 'kaya' mbili ndani ya nyumba moja, kila mtu asubuhi akitokea chumbani mwake na hapo mwenye hasara ni mwanaume ambaye ndiye huwa kakimbiwa.
Kumbatio la huba na utani wa kichokozi wa usiku wa wanandoa huwa automatic ushapigwa marufuku kila mtu na hamsini zake, mwanamke furaha yake hubakia ni kuwaza ma miradi na kucheza na wajukuu!
Kijana unapooa chagua kasichana dogodogo iwezekanavyo ili huduma zote 'nzuri nzuri' uendelee kuzipata hadi utakapokata moto.
U-'Emmanuel Macron' wenu mtapata tabu sana uzeeni, huchekewi wala hutabasamiwi na mtu na utatengwa na kulala peke yako bila kujali baridi lililopo na kila saa ukichungwa na simu yako kukaguliwa imeongea na mwanamke gani kulaleki.
Mzee utaoa lini?Tukiwaambia kataa ndoa mnajikuta wajuaji sana, endeleeni tu
Inaonekana wewe ni mtu was mazoezi sanaKwa Africa km hujitunzi hata hio 45 ni mingi sana,
1: Mazoezi
2: Kupunguza stress
3: Kula vzr hata km sio milo 3 ila ukiwa unakula chakula kiwe at least robo 3 ya mlo kamili
Huyu mtu atakua haumwi Mara Kwa mara kwakua mazoezi ni moja ya tiba nzuri mwilini
Hii ni JF! 😀over 30 mbona kwenye menu wanafit tu
mleta mada mshamba
🤝Nimeongelea hekima sio shurti, ni kweli una haki ya kukataa au kukubali lakini pale unapoona uenda kuna jambo fulani utashindwa kumtimizia mwenzako busara ni kukataa.
Moja ya makosa tunayofanya kizazi cha sasa watu wanaooana wakiwa wanalingana umri. Kitu ambacho kinachangia kuleta shida kwa sababu mwanamke anazeeka haraka na anawahi kufika menopause.
Ili kuwe na uwiano sawa wa kuzeeka na kuingia menopause mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke angalao miaka 7 hivi, sasa sio kila mwanaume anaweza kulijua ilo, kwaiyo kama wewe unajua unaweza kutumia hekima tu na kucheza fair play
Wanaume pia wana shida. Masimp wana kisingizio chao cha "hayana formula". Kuoa mwanamke yupo 30+ ni risk kubwa sanaMi naona hapa tatizo ni Mwanaume anayeenda kutongoza na kutangaza ndoa kabisa na mbibi/veteran wa miaka 30+
Kabisa Mkuu Alpha male hawezi kufanya huo upuuzi wa kwenda kununua Gazeti la Juzi akitegemea atakuta lina habari za Leo.Wanaume pia wana shida. Masimp wana kisingizio chao cha "hayana formula". Kuoa mwanamke yupo 30+ ni risk kubwa sana
Uongezwe mitano tena.Kuna wanaume hawakuoa in their 20’30s au wanao remarry wako in their 40’s au 50’s unataka wakatongoze wanawake wa 20’s na teens? Kila mtu kwa mahitaji yake ana group analolihitaji.
Tunawakubali na wala hatuhatutowakataa
Zamani wakati tupo shule kwenye somo la sayansi tulifundishwa kuna sayari 9 ila leo sayansi inakataa na hata watoto wanafundishwa idadi tofauti ya sayari.Hii ni biology mkuu na huwa haiongopi. At 45 ndiyo menopause na huwa ikifika k inaanza kusinyaa, haitakibkuingiziwa chochote na hata lubricants hutoweka.
Unaweza hata kujiridhisha kwa ku-search kwenye Google.
Ni kweli. Nami nafahamu kwamba scientific ideas are durable, but do not represent an absolute truth (they are tentative).Zamani wakati tupo shule kwenye somo la sayansi tulifundishwa kuna sayari 9 ila leo sayansi inakataa na hata watoto wanafundishwa idadi tofauti ya sayari.
Hizi sayansi sio za kuamini sana hasa biology maana bado tafiti zinaendelea kila siku.
Wapo wanawake wana 50+ ila wanapenda mapenzi kuliko mabinti wa miaka midogo.
Hapo nimekusoma kiongoziNi kweli. Nami nafahamu kwamba scientific ideas are durable, but do not represent an absolute truth (they are tentative).
Hata hivyo mabadiliko ambayo huwa yanafanywa ni kuweka exceptions na nyongeza tu. Ndiyo maana ya hiyo durability yake.
Hao wanawake ambao wanakuwa sexually active at the age of 50+ ni exceptions