Mwanamke kuolewa ukiwa na miaka 30+ ni kumfanyia ukatili mumeo

Uko sure kweli kiongozo wanakata moto at 45?, sasa hawa MILF wanatokea wapi kiongozi au wanatumia mkongo na wao?
Hii ni biology mkuu na huwa haiongopi. At 45 ndiyo menopause na huwa ikifika k inaanza kusinyaa, haitakibkuingiziwa chochote na hata lubricants hutoweka.

Unaweza hata kujiridhisha kwa ku-search kwenye Google.
 
Mkuu umeeleza kila kitu, maoni yako haya ndiyo yalipaswa kuwa mada kuu.
 
Nimeongelea hekima sio shurti, ni kweli una haki ya kukataa au kukubali lakini pale unapoona uenda kuna jambo fulani utashindwa kumtimizia mwenzako busara ni kukataa.

Moja ya makosa tunayofanya kizazi cha sasa watu wanaooana wakiwa wanalingana umri. Kitu ambacho kinachangia kuleta shida kwa sababu mwanamke anazeeka haraka na anawahi kufika menopause.

Ili kuwe na uwiano sawa wa kuzeeka na kuingia menopause mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke angalao miaka 7 hivi, sasa sio kila mwanaume anaweza kulijua ilo, kwaiyo kama wewe unajua unaweza kutumia hekima tu na kucheza fair play
 
over 30 mbona kwenye menu wanafit tu

mleta mada mshamba
 
Kwa Africa km hujitunzi hata hio 45 ni mingi sana,
1: Mazoezi
2: Kupunguza stress
3: Kula vzr hata km sio milo 3 ila ukiwa unakula chakula kiwe at least robo 3 ya mlo kamili
Huyu mtu atakua haumwi Mara Kwa mara kwakua mazoezi ni moja ya tiba nzuri mwilini
 
acha basi

sio kwamba mapenzi hayaangalii umri?
 
Inaonekana wewe ni mtu was mazoezi sana
 
🤝
 
Kuna wanaume hawakuoa in their 20’30s au wanao remarry wako in their 40’s au 50’s unataka wakatongoze wanawake wa 20’s na teens? Kila mtu kwa mahitaji yake ana group analolihitaji.

Tunawakubali na wala hatuhatutowakataa
Uongezwe mitano tena.
 
Hii ni biology mkuu na huwa haiongopi. At 45 ndiyo menopause na huwa ikifika k inaanza kusinyaa, haitakibkuingiziwa chochote na hata lubricants hutoweka.

Unaweza hata kujiridhisha kwa ku-search kwenye Google.
Zamani wakati tupo shule kwenye somo la sayansi tulifundishwa kuna sayari 9 ila leo sayansi inakataa na hata watoto wanafundishwa idadi tofauti ya sayari.

Hizi sayansi sio za kuamini sana hasa biology maana bado tafiti zinaendelea kila siku.

Wapo wanawake wana 50+ ila wanapenda mapenzi kuliko mabinti wa miaka midogo.
 
Ni kweli. Nami nafahamu kwamba scientific ideas are durable, but do not represent an absolute truth (they are tentative).

Hata hivyo mabadiliko ambayo huwa yanafanywa ni kuweka exceptions na nyongeza tu. Ndiyo maana ya hiyo durability yake.

Hao wanawake ambao wanakuwa sexually active at the age of 50+ ni exceptions
 
Hapo nimekusoma kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…