Mwanamke kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani huwa unapata tafsiri ipi?

Mwanamke kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani huwa unapata tafsiri ipi?

entry

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
286
Reaction score
539
Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Kumekuwa na kasumba la wadada kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani tena kwa kujiamini. Mimi binafsi nikisikia mwanamke anaongelea suala hili namtafsiri huyu mwanamke kama kaliwa sana na wahuni in short ni malaya.

Wewe unapataga tafsiri ipi?
 
Huna nguvu ndo maana hutaki kusikia habari hizo, Ni kawaida hatupendi kusikia visivyotufurahisha

Kwa Tafsiri yako nimo kundini, 'malaya' na hata sijali
Hapana usikasirike "mydear'
Tujadili taratibu.
Wanawake wengi mnatafsiri nguvu za kiume kwa;
1. Mwanaume dushe kusinyaa ktkt ya mechi
2. Kumaliza mapema nabkutorudia, je mnajua tatizo lilojificha?

Ukinijibu nitakupa siri moja
 
Usiombe hii kitu ikitokee!

Wanawake siku hizi wamekuwa huru sana kuongelea ya sirini, wana makundi yao kibao sijui wasapu sijui fesibuku kutwa kujadili na kufundishana ngono.

Wengi wakitumiana zile video pendwa na kulinganisha na wapenzi wao, wanaanza kuona huna LOLOTE ni kibamia tu.

Mwanamke wako akitaka kukutoa mchezoni, anakutamkia tu HUNIFIKISHI... kwisha habari yako.
 
Wengi wako namba 2 japokuwa hata namba 1 yote ni matatizo makubwa
 
Usiombe hii kitu ikitokee!

Wanawake siku hizi wamekuwa huru sana kuongelea ya sirini, wana makundi yao kibao sijui wasapu sijui fesibuku kutwa kujadili na kufundishana ngono.

Wengi wakitumiana zile video pendwa na kulinganisha na wapenzi wao, wanaanza kuona huna LOLOTE ni kibamia tu.

Mwanamke wako akitaka kukutoa mchezoni, anakutamkia tu HUNIFIKISHI... kwisha habari yako.
🤣🤣😂ndo kamchezo kao hako wanaharibu saikolojia basi hapo mwamba akiambiwa ivyo anatafuta dawa ni kuna demu alinifanya nikote kweny mchezo mapema eti nataka unipige show ya maana masaa kadhaa duh nikaona hapa hatar
 
Binafsi naamini wanaume wengi wapo vizuri Tena sanaaaa ila sasa kwa vile sexual performance ndo ikulu ya wanaume, tukitaka kuwa intimidate na kuumiza ego zao tunakuja na propaganda za nguvu za kiume na hivyo kuwapelekea kupata msongo wa mawazo, substance abuse na kuanza kutumia Lord-knows-what wanazo uziwa mitaani.

Kama issue ni sexual performance basi sio kosa la mwanamme pekee. Sisi wanawake tunachangia tena kwa kiasi kikubwa sana. Kwanza kuwazidishia stress, pili kutotambua performance pia inategemea na huko kwa mwenzie amepakutaje in terms of mileage, hygiene etc.

So before pointing fingers, preaching lots of BS and bringing our men down, let us evaluate ourselves first.
 
Binafsi naamini wanaume wengi wapo vizuri Tena sanaaaa ipa sasa sexual performance ndo ikulu ya wanaume kwa hiyo tukitaka kuwa indimidate na kuumiza ego zao tunakuja na propaganda za nguvu za kiume na hivyo kuwapelekea kupata msongo wa mawazo, substance abuse na kuanza kutoa Lord-knows-what wanazo uziwa mitaani.

Kama issue ni sexual performance basi sio kosa la mwanamme pekee. Sisi wanawake tunachangia Tena kwa kiasi kikubwa sana. Kwanza kuwazidishia stress, pili kutotambua performance pia inategemea na huko kwa mwenzie amepakutaje in terms of mileage, hygiene etc.

So before pointing fingers, preaching lots of BS and bringing our men down, let us evaluate ourselves first.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeua mrembo. Wanawake mna nafasi kubwa zaidi kutufanya tufanye vizuri kitandani. Wanaume sio marobot huwa wanacheza na beats za feeling upande wa pili
Ni kweli hayo matatizo yako.
Lakini mengine husababishwa ba baadhi za ofisi zenu na mwenye ofisi mwenyewe.
Katika sex mwanamke anayo nafasi kubwa sana kumfanya mwanaume arudie tendo mara kadhaa...hii inatokana na atakavyomjengea mwanaume mvuto...utundu wake katika kuteka hisia.

Pili; kuna binti unamtamani sana lakini akikufunulia tu hamu inakata.
Maumbile mengine yana maji na mtepeto wa ajabu.
Mwanaume anaweza kujikaza kuanza ku sex lakini aidha anaweza kuharakisha amalize au hata hisia zikaishia katikati ya tendo.

Tatu ni matatizo ya nguvu za kiume litokazo na mtindo wa maisha...vyakula, nyeto, porn nk
 
Kuna mmoja pande za A town anauzaga dawa yake inaitwa Mnato. Yule dada akiwa anakuelezea unawezahisi uko uchi,kweli njaa huwa inawatoa watu akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom