Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

@EMT, umeipata wapi barua yangu aloniandikia desh desh?

Hivi kumbe sikuichana?
 
Reactions: EMT
Hili ndilo ambalo mara nyingi hatulioni...'male ego', tunadhani 'tumepata', kumbe 'tumepatikana'..lolz!



hahahaha.... Umenoa eeeh? lol... But that is one of the beauty of being a Woman..... lol.
Na ukikubali hilo you will know you are so powerful than a man can ever hope to be....
 
Reactions: SMU
Kipipi sijasema ni lazima.... Na kuna raha bana mwanamke uzukiwe sio umzukie.... hawa kaka zetu hawachelewi kusema kwanza ulinitongoza mwenyewe! lol

Hilo nalo neno!!! But utasubiri mpaka lini?? (au hata wale wenye himaya zao na wao bado wanalalamika kutaka vya ngelesha?)

BTW; kuna raha gani mtu atake kuzukiwa ilhali anajua kabisa jibu ni NO??
 
Mpenzi dada, hapo kwenye age hapo tafadhali mbona hata sie kina ajuza tunatongozwa na wa age etu bana?!



Wewe ndio utakua kama akina Madamme Ritha.... The older you grow the more lovely and alluring wawa... Hongera saana dear...
 

Sometimes sisi wanawake tunakuwa victims of our success, hapo kwenye No. 4 and 5 inawagusa wadada wengi tu. Sasa kama mtu ameenda shule akawa na vishahada vya nguvu na aakajaliwa kupata kazi inayolipa automatic atakuwa matawi ya juu, in worse case wengine are born rich. Sasa makosa yake ni nini hapo mwanamke. Ninavyoona mimi ni wanaume kutojiamini, ikiwa mwanamke ni approachable i don't think kama kuna tatizo.

Jambo jengine ni mambo ya fact findings, as long as unajua mwanamke yule available the rest is better be found during the process of approaching or kutongoza. Hii kasumba iko sana kwa waafrika na wasians, wenzetu wazungu hawana kitu hiyo so long kuna interest, they don't care, mfano mzuri ni Sarkozy and his wife. Mara ngapi tumeona machangudoa wanadate or wameolewa na respectable men. Kna usemi unasema ukichunguza sana bata huwezi mla. Maana ukijua sana details zake mambo mengine yanaweza kutoa ujasiri wa kuingia huyo dada.
 
habari yako AD?
this thread z useful itawasaidia sana wadada ambao hawana damu ya kutongozwa (Reason;km miaka 7 nyuma niliwahi kusikia mazungumzo ya wadada wawili mmoja ana mlalamikia mwenzake....nanuku; "mwenzangu mimi toka nitongozwe siku ile na yule mkaka miezi 3 iliyopita sijatongozwa tena ,sijui nimepata nuksi gani?")
my take;it seems this thing inawaumiza sana dada zetu.

Come to the topic; kutongoza z very relative term coz it goes either way(mwanamke na mwanaume) ila yeyote anayetongoza lazima atongoze na kuhakikisha anapata (Reason;for a real hunter its doesnt feel good kukosa aka Kibuti) kwahiyo hamna kubahatisha,so you must analyse unayemwinda( kwa kuangalia both availability yake ,mazingira yanayomzunguka,your chances etc).....thats why kwa mtu km mimi na wengine km mimi hawawezii kukutongozea mtandaoni (as kizazi cha dot.com wanavyopenda kufanya).....Reason;Kwasababu wanajua WATAMISS IMPORTANT BODY LANGUAGE NA ZAIDI ILE PHYSICAL ATTRACTION MTU ALIYONAYO.

IMPORTANT;you have to be in a right territory to get a certain PREY........hivyo hivyo ukitaka kutongoza/kutongozwa you must be in a right PLACE ,TIME and PIPO kuweza kutongozwa/kutongoza.
 
Hasa ukizingatia a man's wife is another man's player.

Lakini Asha Dii hizi bado zipo au ni RIP?



Hii staili ndio imekufa kifo cha mende sio?



EMT Umepata wapi picha yangu?? Dah!


I miss the old times..... lol... Ila sasa Sidhani kama I can live bila simu kama yupo mbali na mimi.....:thinking:
 
Reactions: EMT
Kumbe kutongozwa raha eh??? sasa kwanini mkitongozwa mnavuta midomo kama mna matumbo ya kuhara?


Dah!! Siamini kua hii hua inakukuta.....lol... Hebu acha kutuonea.... hahaha.... Mtu akikuvutia mdomo to that extent anajiona kama vile yuko above you....
 
Kumbe huo wimbo ndio unaitwa hivo....lol...

BTW Klorokwin hebu acha kunibania I don't believe huna ambalo waweza ongeza nieweze benefit na fellow members....
Hakyanani hapa Ashadii mimi sina mchango manake hizi kesi bana ziko very unique na za kimaajabu. Mfano mimi washkaji zangu enzi izooo walikuwa wanasema wao kutongoza mwanamke mjuba never, na nimeshuhudia jamii sana inasema mwanamke mjuba hatongozeki wala hatongozwi, Lakini bana mimi hakuna kitu naenjoy kama kutongoza mdada mjuba.

Yaani napenda ile nimwambie "mdada umeumbika" halaf yeye ajibu kijuba "ndo umejua leo?" au unamwambia "vipi nikusindikize?" yeye anakwambia "utajijuu, umeskia maandamano ya chadema aya?"
Hakyanani vile vimajibu vinanipa mzuka sana na hawa wadada wana siri flani lakini sitoisimulia leo.
 
Hilo nalo neno!!! But utasubiri mpaka lini?? (au hata wale wenye himaya zao na wao bado wanalalamika kutaka vya ngelesha?)

BTW; kuna raha gani mtu atake kuzukiwa ilhali anajua kabisa jibu ni NO??


Alafu sijaelewa wapi most mumechukulia kua ni raha.....lol.... Jamani inaweza kua raha ama karaha! Hivi umewahi tongozwa na mwanaume king'ang'anizi?? Utalia, utabadilisha njia na kama ana number yako utatupa na kutumia nyingine! lol
 
Kumbe kutongozwa raha eh??? sasa kwanini mkitongozwa mnavuta midomo kama mna matumbo ya kuhara?

Tatizo Kamanda ni pale unapotongozwa na usiyetaka akutongoze lol!
mzima lakini? Afu kuhamia manzese sio ndo ujifunze maneno machafu namna hiyo, yaani sie na midomo yetu yenye ma-lipstick toka ma-Avon, sijui Mac nini nini huko unafananisha na tumbo la kuhara?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…