Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndilo ambalo mara nyingi hatulioni...'male ego', tunadhani 'tumepata', kumbe 'tumepatikana'..lolz!
Kipipi sijasema ni lazima.... Na kuna raha bana mwanamke uzukiwe sio umzukie.... hawa kaka zetu hawachelewi kusema kwanza ulinitongoza mwenyewe! lol
Kuliko kuukosa ugali wako ni heri uninyime denda kwa wiki saba....
Shem.....nakusalimu.
Ama baada ya salamu naomba nikuulize kumbe kutongozwa ni deal eh? Ole wake mtu anitongozee mai mama Matesha wangu.....
Vingine vunavyochangia mwanamke kutotongozwa🙁Source: ODM)
1. Akiwa mzuri sana (wanaume tunaogopa kupigwa vibuti ati) kuna ile hulka ya wanaume kuona mrembo kama huyu si size yangu. Sasa kila mtu akiona we si size yake ndo basi tena. Watu watakuwa wanafaidi kwa macho tu.
2. Akiwa mbaya sana (Yaani mwanamke ana sura kama ngumi ya mwizi) afu basi hata kujifanyia make ups hajui au hataki. Afu ukute mchafu kama choo cha stendi..../ nani atakutongoza?
3. Maringo / majivuno kwa sana
4. Utajiri... Kama una vijisenti vyako kama vya Chenge, ni wanaume wachache sana wenye guts za kukutokea.
5. Kichwa / Shule.... Yaani kama umepiga elimu zako kadhaa kichwani, tena zenye heshima ya haja... vidume huwa havipendi "kutawaliwa".
Sijui niendelee?
Hasa ukizingatia a man's wife is another man's player.
Lakini Asha Dii hizi bado zipo au ni RIP?
![]()
Hii staili ndio imekufa kifo cha mende sio?
Kuvuta na kubinua midomo ndio raha yenyewe, uzuri kuvuta midomo hakusemi kwamba ndio umekataaKumbe kutongozwa raha eh??? sasa kwanini mkitongozwa mnavuta midomo kama mna matumbo ya kuhara?
Kumbe kutongozwa raha eh??? sasa kwanini mkitongozwa mnavuta midomo kama mna matumbo ya kuhara?
Hakyanani hapa Ashadii mimi sina mchango manake hizi kesi bana ziko very unique na za kimaajabu. Mfano mimi washkaji zangu enzi izooo walikuwa wanasema wao kutongoza mwanamke mjuba never, na nimeshuhudia jamii sana inasema mwanamke mjuba hatongozeki wala hatongozwi, Lakini bana mimi hakuna kitu naenjoy kama kutongoza mdada mjuba.Kumbe huo wimbo ndio unaitwa hivo....lol...
BTW Klorokwin hebu acha kunibania I don't believe huna ambalo waweza ongeza nieweze benefit na fellow members....
Hilo nalo neno!!! But utasubiri mpaka lini?? (au hata wale wenye himaya zao na wao bado wanalalamika kutaka vya ngelesha?)
BTW; kuna raha gani mtu atake kuzukiwa ilhali anajua kabisa jibu ni NO??
Kumbe kutongozwa raha eh??? sasa kwanini mkitongozwa mnavuta midomo kama mna matumbo ya kuhara?
Kitu kama hiki afu ujitose kukitongoza kavukavu......kudadadeki!![]()