EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
@EMT, umeipata wapi barua yangu aloniandikia desh desh?
Hivi kumbe sikuichana?
Nilitunza kopi justi in kesi posta wangepoteza origino.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@EMT, umeipata wapi barua yangu aloniandikia desh desh?
Hivi kumbe sikuichana?
Mwanajamii, hiyo ni tatizo lakini ukiangalia kwa undani sio tatizo, tafiti zimeonyesha kwamba, mtu uliyekuwa una dream ndio atakuwa mume wako wa aina hiyo au mkeo, sio huyo unayeishia kuwa naye, unajikuta mikononi mwa mtu tofauti halafu ndio unampenda kufaTatizo Kamanda ni pale unapotongozwa na usiyetaka akutongoze lol!
mzima lakini? Afu kuhamia manzese sio ndo ujifunze maneno machafu namna hiyo, yaani sie na midomo yetu yenye ma-lipstick toka ma-Avon, sijui Mac nini nini huko unafananisha na tumbo la kuhara?!!
Afu eti umepiga boxer kama hili afu umtokee mtoto wa Obama eti usitegemee kibuti....
![]()
habari yako AD?
this thread z useful itawasaidia sana wadada ambao hawana damu ya kutongozwa (Reason;km miaka 7 nyuma niliwahi kusikia mazungumzo ya wadada wawili mmoja ana mlalamikia mwenzake....nanuku; "mwenzangu mimi toka nitongozwe siku ile na yule mkaka miezi 3 iliyopita sijatongozwa tena ,sijui nimepata nuksi gani?")
my take;it seems this thing inawaumiza sana dada zetu.
Come to the topic; kutongoza z very relative term coz it goes either way(mwanamke na mwanaume) ila yeyote anayetongoza lazima atongoze na kuhakikisha anapata (Reason;for a real hunter its doesnt feel good kukosa aka Kibuti) kwahiyo hamna kubahatisha,so you must analyse unayemwinda( kwa kuangalia both availability yake ,mazingira yanayomzunguka,your chances etc).....thats why kwa mtu km mimi na wengine km mimi hawawezii kukutongozea mtandaoni (as kizazi cha dot.com wanavyopenda kufanya).....Reason;Kwasababu wanajua WATAMISS IMPORTANT BODY LANGUAGE NA ZAIDI ILE PHYSICAL ATTRACTION MTU ALIYONAYO.
IMPORTANT;you have to be in a right territory to get a certain PREY........hivyo hivyo ukitaka kutongoza/kutongozwa you must be in a right PLACE ,TIME and PIPO kuweza kutongozwa/kutongoza.
Huyu kaka ana kwapa kali, duh ngoja nimpulizie deodorant.
My mama is so damn beautiful mpaka namuonea wivu baba..... Dingi langu linajua kuchagua aisee.....
Age aint nothing shem.... its just a number.
Hakyanani hapa Ashadii mimi sina mchango manake hizi kesi bana ziko very unique na za kimaajabu. Mfano mimi washkaji zangu enzi izooo walikuwa wanasema wao kutongoza mwanamke mjuba never, na nimeshuhudia jamii sana inasema mwanamke mjuba hatongozeki wala hatongozwi, Lakini bana mimi hakuna kitu naenjoy kama kutongoza mdada mjuba.
Yaani napenda ile nimwambie "mdada umeumbika" halaf yeye ajibu kijuba "ndo umejua leo?" au unamwambia "vipi nikusindikize?" yeye anakwambia "utajijuu, umeskia maandamano ya chadema aya?"
Hakyanani vile vimajibu vinanipa mzuka sana na hawa wadada wana siri flani lakini sitoisimulia leo.
EMT Umepata wapi picha yangu?? Dah!
I miss the old times..... lol... Ila sasa Sidhani kama I can live bila simu kama yupo mbali na mimi.....:thinking:
Blackberry, AshaDii na MJ1.... nyie acheni tu, kutongozwa mnataka, midomo mvute nyie, undenda mdomoni ujae humohumo wakati wa kutongozwa haya
Leo nipo kipovu zaidi ngoja nirudi kulee, naskia kutakua na mabomu ya machozi kwenye thread mojawapo!!!
Nawaacha na hiyo ya enzi zanngu domo zege!
View attachment 49715
hahaha.... Haya bana! Dah! lol
Asante mzee DC.... Kwa mawazo yangu... Mwanaume ambae hatongozi tongozi naweza sema kua ni "Gentleman" Take note: Unaposema hatongozi tongozi ina maana hatongozi mara kwa mara ila once in a while na mara nyingi akimaanisha ama akiwa kweli willing kua na the lady na sio tu kwa tamaa za ovyo ovyo ama majaribu ya kuona kama atapata.
Alafu DC wanaotafuta wachumba hawatongozi tongozi on the basis of kutafuta uchumba... Atleast that is what I know...
Alafu sijaelewa wapi most mumechukulia kua ni raha.....lol.... Jamani inaweza kua raha ama karaha! Hivi umewahi tongozwa na mwanaume king'ang'anizi?? Utalia, utabadilisha njia na kama ana number yako utatupa na kutumia nyingine! lol
I hope wakaka watakusoma na kukuelewa kwa hili.... Hio ulotaja Berry ni moja ya Strategies ya kumwinda mtu na kuhakikisha yupo wavuni as you call it..... lol... Nyingine inabidi tusianike hapa; kama wapenzi wapo humu wasije funguka kichwa na kugundua kukufuata kwake was not his idea but you just planted it.... lol
Halaf kuna njemba imevaa mawani hapo nyuma inaangalia masaburi ya bondia wetu. Dah! balaa
Nilitunza kopi justi in kesi posta wangepoteza origino.
Mpenzi dada, hapo kwenye age hapo tafadhali mbona hata sie kina ajuza tunatongozwa na wa age etu bana?!