Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Hapa naona una nia ya kunikorofisha tu na shemejio..... lol.... Alafu Mama E hayupo acha woga! lol
Mi nimesema tu... Halafu naona NN nae kaja kwa style ile ile ya 'likes'. kumbe wengi wamesha realise kua your like spot is sensitive ati? lol
Mama enock ni noma! awepo, asiwepo, she has strongly marked her territory bwana!
 
AD....mtu anayekuwa na wewe kwasababu ya status yako ,utagundua tu km yupo material wise .....na kujidegrade znt the solution ya hili kwakweli and my take naona km utakuwa siyo wewe ulivyo( belive me or not utajua tu)

Ni kazi saana kujua... nakwambia. mimi naamini hivo. waweza kuja jua when it is too late to do anything....

AD what is it? lol! hizo lugha za viashiria zinaniacha.

Lmao - Laughing my a*se off!
 
Technical error... (kosa la kiufundi)

Huh?

Mi nimesema tu... Halafu naona NN nae kaja kwa style ile ile ya 'likes'. kumbe wengi wamesha realise kua your like spot is sensitive ati? lol
Mama enock ni noma! awepo, asiwepo, she has strongly marked her territory bwana!

mmmh! Alter naona leo uko na mimi.... lol

Hahahaha.... napenda sana watu wanaoweza mark territory to that extent!
 
lol.....

Yeah' you gat that rite Ngabu (ila out of curiosity how did you guess?)

How did I guess? Well, I didn't guess. I know.

And how do I know? You ask....

I know because you've been running through my mind a lot today. And that running ain't no joke.
 
Aww jamani DC.... You have melted me na hii post (ki dada na kaka; ile ya good faith :wink2🙂

Zawadi yangu nini sasa? lol

Mhhhh....wewe leo hata sijui....

Ok...fanya hivi...ukifika home mueleze King kuwa kuna kababu kamoja huko JF, kameshauri unipe zawadi tena iwe kabla ya siku nyingine kuanza......Kwa vile King ni mzee mwenzangu, hiyo lugha yetu ya kigagagagagikoko anaijua vizuri tena sana....!!

Best wishes......


Babu DC!!
 
Ni kazi saana kujua... nakwambia. mimi naamini hivo. waweza kuja jua when it is too late to do anything....



Lmao - Laughing my a*se off!
hapo kwenye red tutaishia kukubaliana kutokukubaliana....

na kwenye bluu ,Roger that dada yangu.......
 
Asamehewe dhambi zake aliyegundua bia. Apumzike kwa amani aliyegundua Guinness. Apate rehema kwa Mungu aliyegundua Red Label.
 
How did I guess? Well, I didn't guess. I know.

And how do I know? You ask....

I know because you've been running through my mind a lot today. And that running ain't no joke.


Jamani wewe nani usie jipenda umeiba PW ya Ngabu alafu wakosea kuitumia na kufanya ambayo Ngabu hua hafanyi? Nakushauri kimbia kabla mwenyewe hajaku bamba! lol
 
Alaaaaaah mwasubiri kutongozwa hamjajifunza chochote Beijing ya haki sawa kwa wanawake na wanaume tongozeni wadada na wamama shauri yenu wanawake wa Tanzania wenzenu wa Kenya wamesonga mbele wanatongoza wao hawasubiri kutongozwa!
 
Nilikwambia umekosea kumuuliza how he knows (kosa la kiufundi). Kumbe alter you are that blue in these matters? Ona sasa matokeo yake:

How did I guess? Well, I didn't guess. I know.

And how do I know? You ask....

I know because you've been running through my mind a lot today. And that running ain't no joke.
 
siamin sana kwenye kutongozwa....!kwamba mwanamke akitongozwa ndo "anatizamika"....au presentable...wereva..!ninaangalia mbele zaid ya hilo katika mapokeo yangu kwa wanawake.lakin unfortunately women do fail herein

siamin sana..!na sijui kwanin...!

labda nikisema kwanin nitaonekana "i am gender insensitive"....!

no bad lakin...!i lyk them ladies...!

gdnt!....
 
Hii thread leo imenifanya nikumbuke kwamba hata maziwa fresh na juice navyo ni vinjwaji, hongera zako kwa kunikarisha nyumbani usiku huu badala ya kwenda kupiga Dubai kwa yule Mama na vibinti vyake.
 
hahahaha asha dear, umekumbuka enzi zako na baba fulani eee
 
RR, na EMT.....are yoy taking a good advantage ya hii thread ama? I smell somthing, and that "aint no joke"
 
Nadhani kuna kitu kimepungua hapa!Kutongoza ni hatua ya pili vipi kuhusu kinachomfanya mwanamke atongozwe?Nadhani hili ndo linalopelekea mwanamke awe kituko!Kuvaa mawigi,skin jeans,skirt fupi na mavazi mengine ya aibu ambayo nikimwona mwanamke amevaa hata simsemeshi kamwe!!!!
 
Aunt Shkamoo,
Mengi uliyoyaeleza hapa nakubaliana nayo, bt umeyaainisha mengi yanayowahusu watongozwaji, kivyovyote vile hapa hatuwezi kupata ladha uliyoidhamiria iwapo hapatopatikana na kauli za watongazaji (kwa maana ya wanaume)
Katika issue ya kutongoza wanaume pia tuko ktk category tofautitofauti.
Sihitaji kuzielezea hapa hizo category bali nijiseme mfano wangu mie katika hili.
Silka yangu mie inapotokea hua ;
Kwanza awepo huyo wa kumtongoza.
Pili , nimpende/nivutiwe nae.
Tatu , vikikamilika hivyo hua siangalii ana Uwezo/Elimu/Umri kwani hua siamini uwezo wake wowote kunizidi utahusiana na mapenzi.
Nikishakupenda mi nakuvagaa tu, labda mwanamke husika yeye ndiye akatae aproach yangu .
 
Back
Top Bottom