Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Mugglin umegusia la msingi saana. Ni kweli desparation ni mbaya (tena hukuweka kila saa uko tayari kwa kutongozwa na hali haipendezi sometimes kutongozwa ije as a surprise....); I like the dawa you have recommended.... Na nadhani hio ya kufanya hivo ni hasa pale ambapo wahisi kuna mtu anakumendea.... for siamini kua ni kila sehemu you need to do that hali hauko aware hata kama somebody is watching you....
Desperation inakuja kama ukigundua kitu ulichokuwa unakidengulia kinaanza kuishia taratiiibu. Well, kila kitu kinataka strategy...so mwenye strategy nzuri mambo yake yatakuwa poa tu.