Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mugglin umegusia la msingi saana. Ni kweli desparation ni mbaya (tena hukuweka kila saa uko tayari kwa kutongozwa na hali haipendezi sometimes kutongozwa ije as a surprise....); I like the dawa you have recommended.... Na nadhani hio ya kufanya hivo ni hasa pale ambapo wahisi kuna mtu anakumendea.... for siamini kua ni kila sehemu you need to do that hali hauko aware hata kama somebody is watching you....

Desperation inakuja kama ukigundua kitu ulichokuwa unakidengulia kinaanza kuishia taratiiibu. Well, kila kitu kinataka strategy...so mwenye strategy nzuri mambo yake yatakuwa poa tu.
 
Haya Shem, basi ngoja nikuache uendelee kulala...
attachment.php

Hii si itakuwa kesi tena, eeeeh!
 
Dada bana!Kwanini unashangaa mimi kuwa sina mwanamke till now?Mbona kawaida tu?Pia tatizo sio mimi,tatizo ni wao,siku mbili tu baada ya kufahamiana wanataka kudo,wengine wanataka kunifanya baba yao kila shida yao niimalize mimi,wengine hawajiamini wala hawajijui na hawajui majukumu yao!Kuhusu kumquote mtu,dada natumia nokia ya tochi haifanyi kila kitu!Nikiokota hela nitanunua angalau ka laptop nitaweka na avatar!!Teh,teh,teh,teh!!

Kupata a partner yahitaji uvumilivu wa hali ya juu hasa kama you want a serious one.... Sasa kaka hivi anae taka kudo tatizo liko wapi?

Nokia yoyote ile yenye uwezo wa ku access ina uwezo wa kujibu with quote kama sikosei... Unatumia Nk namba ngapi if you don't mind? kama huna siri zozote nipe PW nikuwekee avatar then utaweka PW nyingine....
 
Desperation inakuja kama ukigundua kitu ulichokuwa unakidengulia kinaanza kuishia taratiiibu. Well, kila kitu kinataka strategy...so mwenye strategy nzuri mambo yake yatakuwa poa tu.

Sa ingine wanawake wazuri saana na ambao wana bahati ya kutafutwa na wanaume wa maana ndio huwakuta hayo. Ila werevu hujitahidi sana kujenga maisha yao mapema ama hata ku settle with a family. Ili wasitegemee tena watu ambao huwaweka mjini.... mana kama tatizo ni a partner tu nadhani hua hawakosekani if you are willing. Tatizo ni kama wataka a partner umtegemee...

Hii si itakuwa kesi tena, eeeeh!

Huyu shemeji yangu kweli leo simuelewi..... Nimeshindwa hata la kujibu.....
 
Kupata a partner yahitaji uvumilivu wa hali ya juu hasa kama you want a serious one.... Sasa kaka hivi anae taka kudo tatizo liko wapi?

Nokia yoyote ile yenye uwezo wa ku access ina uwezo wa kujibu with quote kama sikosei... Unatumia Nk namba ngapi if you don't mind? kama huna siri zozote nipe PW nikuwekee avatar then utaweka PW nyingine....

Naona mitongozo inaendelea.... Aisee!!:lock1::A S 13::A S 13:
 
Naona mitongozo inaendelea.... Aisee!!:lock1::A S 13::A S 13:

hahahah..... Hio haiwezi kua avoided... Kila sekunde, dakika na saa mitongozo ya kila sampuli inaendelea.
 
Well..... i will interested to hear how mwanamke feels anapomtongoza mwanaume!!!

:attention::attention::attention::attention:
 
Well..... i will interested to hear how mwanamke feels anapomtongoza mwanaume!!!

:attention::attention::attention::attention:

Ni swali gumu sana..... na niwachache tuna guts za kuadmit kua tusha wahi tongoza ama Lah! What we ladies have ni technicalities..... Kwamba mimi namtaka mwanaume fulani na nampenda nini inatakiwa nifanye.... Before sijasema lolote, naomba mfano wa mwanaume yeyeto uniambie hali yake ama kazi yake ili nieweze eleza kwa uelewa wangu how we do it.... lol
 
Alter, nani alimuonesha ODM how to attach a picture? he is misusing the feature na anapotosha mada. ni namna nyingine ya kuchakachua. And what is that picture of you still sleeping? how did he take it??? :angry:
 
Alter, nani alimuonesha ODM how to atach a picture? he is misusing the feature na anapotosha mada. ni namna nyingine ya kuchakachua. And what is that picture of you still sleeping? how did he take it??? :angry:

Sina la kusema.... mimi speechless..... hanitakii mema lol. Wee muache nikiondolewa home nitahamia kwake na mama Matesha.
 
Sina la kusema.... mimi speechless..... hanitakii mema lol. Wee muache nikiondolewa home nitahamia kwake na mama Matesha.
Halafu umeona? he has liked this post twice than once. Ngoja niongee nae, this is not proper. (Au ndio gia zake za kukutongoza? coz in this case itabidi nimwache upambanae nae mwenyewe)
 
Alter, nani alimuonesha ODM how to atach a picture? he is misusing the feature na anapotosha mada. ni namna nyingine ya kuchakachua. And what is that picture of you still sleeping? how did he take it??? :angry:
Afu wewe! Hujajua nimegradyueti digrii ya kufyatua na kuapulodi mapicha kwa JF? Cheki na Invizibo. Afu jana ukayatoa baadhi ya mapicha. Mi nakuangalia tu na nakuandalia Ban.

Sina la kusema.... mimi speechless..... hanitakii mema lol. Wee muache nikiondolewa home nitahamia kwake na mama Matesha.
Hehehehe.... Na bado sijapata shahada ya pili. Ntakuwa naweka ma movideo kabisa. Ole wako ukatize anga zangu na nguo za kuazima.... nakutoa front page ya breaking news MMU.:lock1:
 
mmmmmhhhhhh!...

kama kawaida yake odieem!...

haya jamani...!

minarudi kulima vinyungu huku kigonzire...!tumaini university kwa mbele kule
 
Afu wewe! Hujajua nimegradyueti digrii ya kufyatua na kuapulodi mapicha kwa JF? Cheki na Invizibo. Afu jana ukayatoa baadhi ya mapicha. Mi nakuangalia tu na nakuandalia Ban.

ARE YOU THREATENING A MOD?????? THIS IS TOO MUCH. Alter, ngoja hii conversation niipeleke PM, just between ODM and I. lol
 
[/B]
ARE YOU THREATENING A MOD?????? THIS IS TOO MUCH. Alter, ngoja hii conversation niipeleke PM, just between ODM and I. lol
My inbox is not richabo.... afu FYI hii avatar yako ya sasa hata ukinigongea Like wala sisisimki.:crazy: Lakini haimaanishi kuwa huruhusiwi kunigongea hako kayuziful batan.
 
mmmmmhhhhhh!...

kama kawaida yake odieem!...

haya jamani...!

minarudi kulima vinyungu huku kigonzire...!tumaini university kwa mbele kule
Shhhhh! Leo niko na Mrusi R. Na kikawaida ukiwa na guts za kumtongoza MOD ujue umefikia kikomo cha elimu ya utongozaji. Yaani unaweza kutongoza mke wa Mfalme Mswati bila wasiwasi wowote.
 
Hii thread imenishinda.... ingekua ni forum ya Complaints ndio hapo unaomba ifungwe mana sina tena ya kujibu...lol. Kwaherini... :hand:
 
Back
Top Bottom