Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Aunt Shkamoo,
Mengi uliyoyaeleza hapa nakubaliana nayo, bt umeyaainisha mengi yanayowahusu watongozwaji, kivyovyote vile hapa hatuwezi kupata ladha uliyoidhamiria iwapo hapatopatikana na kauli za watongazaji (kwa maana ya wanaume)
Katika issue ya kutongoza wanaume pia tuko ktk category tofautitofauti.
Sihitaji kuzielezea hapa hizo category bali nijiseme mfano wangu mie katika hili.
Silka yangu mie inapotokea hua ;
Kwanza awepo huyo wa kumtongoza.
Pili , nimpende/nivutiwe nae.
Tatu , vikikamilika hivyo hua siangalii ana Uwezo/Elimu/Umri kwani hua siamini uwezo wake wowote kunizidi utahusiana na mapenzi.
Nikishakupenda mi nakuvagaa tu, labda mwanamke husika yeye ndiye akatae aproach yangu .
Hapo kwenye umri hapo jaa........utajaswekwa Butimba wewe nishindwe kutoka Mkuyuni kukuletea japo kapile!! LOL