Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Healthier & strong enough..........ili la kusave pesa halina mjadala umenisaidia sana, tena sio kusave tu huwa tunarudi na madeni wakati mwingine una overdraft round ukiamka kama hivi unakuta mfukoni una kikaratasi cha oustanding bill kama ya 40,000/= Kudos friji yangu imesheheni soft drink za kutosha.Umenifanya nivimbe kichwa out of this post.... Na nadhani nilikusave hadi pesa pia....lol
Umeamkaje Matola?
Jibu la swali lako nitaku-PM, maana Wahafidhina watasoma, halafu mama Ngina ataleta Nouma.................LOL
Hii natural beauty kule kijijini kwetu huwa haikatizi bila kutongozwa.....
Aahh!!.....umerudi tena leo! usisababishe na leo nishindwe kutimiza majukumu yangu kwa kukimbizana na hii thread, hapa ngoja nikimbie.
Healthier & strong enough..........ili la kusave pesa halina mjadala umenisaidia sana, tena sio kusave tu huwa tunarudi na madeni wakati mwingine una overdraft round ukiamka kama hivi unakuta mfukoni una kikaratasi cha oustanding bill kama ya 40,000/= Kudos friji yangu imesheheni soft drink za kutosha.
hahahaha.... tunafunzana hapa.... sio mbaya once in a while....
Alafu kuna mahala nimesoma kua nyumbani kama yard ya magari..... lol... Unaweza niazima gari moja; niko kijijini huku usafiri kaaza kweli kweli! Ili mradi tu iwe four wheel drive.
Umenifurahisha hilo suala la kuondoka na madeni... mimi nilifikiri bar hazikopeshi siku hizi.... lol
Samahani shem... nimesahau nikaweka wakati ukiwa kigori. Ngoja niwawekee hii ukiwa na Kaizer baada ya makarolaiti kufanya kazi yake...Shem ndio nini hivi?? Naona umeamua kuweka picha yangu hapa? Why??? Tena bila ruhusa..... Dah!
AshaDii, nitangulize samahani kuwa nimepita kijuu juu. Lakini sijaona kuzungumziwa habari ya mwanamke kuonekana 'too desperate' kutongozwa. Dawa ya hawa jamaa, appear like you are not interested and u will hook up the best fish with a strong personality. Unajua ukijipeleka kwa simba ama akikuona ukakaa tu bila kuhisi anahitaji kukukimbiza hatakuchangamkia! Simba lazma akimbize kidogo ndo ataona raha ya kuwinda,lol!
Mengine ya watu sio ya kwangu Rafiki.......wengine wakikwama wanakuja kuweka bond wanachukuwa mkwanja wanaacha gari kweye Yard yangu. Mjini hapa kwa wale wapenda magari basi Matola ni tajiri kibongobongo kumbe similiki zaidi ya mikweche yangu miwili tu na boda boda mbili tu!
Interesting.....!!??Why??Dada,hebu dadavua!!Halafu nitakusalimu!
Samahani shem... nimesahau nikaweka wakati ukiwa kigori. Ngoja niwawekee hii ukiwa na Kaizer baada ya makarolaiti kufanya kazi yake...
Hahahahahah.......haina maana kunyimana, ukija Dar no problem naweza kukuazima with self Driving lakini siyo 4wd, hizi 4wd ndizo zinazonipa jeuri ya kurelax hapa JF bila kufikiria kubeba box, hizi zimekodiwa na kampuni ziko huko mikoa ya kusini kwenye mambo ya utafiti wa nature resource, hapa mimi nakula check yangu kila mwezi tu.hahaha..... I hope sio gear ya kuninyimia? lol
I like the fact of the matter in the post.... nice one Matola.....
Ok,dada,usijali,gud mrng ma lovely dada!I hope thing are gud out there!About that post,kiukweli wanawake walio natural napata tabu sana kuwapata,si unajua nimekubali yaishe nakutafutia wifi!But sijapata,I'm still looking for someone!
Hahahahahah.......haina maana kunyimana, ukija Dar no problem naweza kukuazima with self Driving lakini siyo 4wd, hizi 4wd ndizo zinazonipa jeuri ya kurelax hapa JF bila kufikiria kubeba box, hizi zimekodiwa na kampuni ziko huko mikoa ya kusini kwenye mambo ya utafiti wa nature resource, hapa mimi nakula check yangu kila mwezi tu.
Haya Shem, basi ngoja nikuache uendelee kulala...Umeshindwa weka nyingine umeona hadi uweke zenye kuonesha chupa za beer.....lol... Shem naomba usiweke picha yangu nyingine bana!
Habari yako Mugglin....
Naomba nikutongoze tafazali....:violin:
Ur wellcome rafiki........Halafu Dar hatutumii neno kuazima bali kuadjust!.....Hongera saana Matola.... Hio tender nzuri saana hio... sasa kwangu ni kua problem naishi mkoani... If it happens nimekuja Dar then lazima nikutafute uniazime usafiri....
Afu Mugglin bana...Lol! Babu hebu orodhesha mali zisizohamishika kwanza tuanze mchakato. Mind u I appear uninterested hadi nikuone unapata kichaa. Dates kibaao na stori za kisela sela. Afu naku-tongoza kiduchu na mie.
Nasubiria orodha nimpelekee evaluator wangu.
Habari yako Mugglin....
Naomba nikutongoze tafazali....:violin:
Lol! Babu hebu orodhesha mali zisizohamishika kwanza tuanze mchakato. Mind u I appear uninterested hadi nikuone unapata kichaa. Dates kibaao na stori za kisela sela. Afu naku-tongoza kiduchu na mie.
Nasubiria orodha nimpelekee evaluator wangu.