Mugglin umegusia la msingi saana. Ni kweli desparation ni mbaya (tena hukuweka kila saa uko tayari kwa kutongozwa na hali haipendezi sometimes kutongozwa ije as a surprise....); I like the dawa you have recommended.... Na nadhani hio ya kufanya hivo ni hasa pale ambapo wahisi kuna mtu anakumendea.... for siamini kua ni kila sehemu you need to do that hali hauko aware hata kama somebody is watching you....
Haya Shem, basi ngoja nikuache uendelee kulala...
Dada bana!Kwanini unashangaa mimi kuwa sina mwanamke till now?Mbona kawaida tu?Pia tatizo sio mimi,tatizo ni wao,siku mbili tu baada ya kufahamiana wanataka kudo,wengine wanataka kunifanya baba yao kila shida yao niimalize mimi,wengine hawajiamini wala hawajijui na hawajui majukumu yao!Kuhusu kumquote mtu,dada natumia nokia ya tochi haifanyi kila kitu!Nikiokota hela nitanunua angalau ka laptop nitaweka na avatar!!Teh,teh,teh,teh!!
Desperation inakuja kama ukigundua kitu ulichokuwa unakidengulia kinaanza kuishia taratiiibu. Well, kila kitu kinataka strategy...so mwenye strategy nzuri mambo yake yatakuwa poa tu.
Hii si itakuwa kesi tena, eeeeh!
Umechanganyikiwa....!
Nimemwonea wivu kwa kupata mke mzuri namna ile..... My mama is so beautiful! I love her.Mimi ndo nimechanganyikiwa zaidi maana sijui anamaanisha nini kumuonea wivu baba yake.
Kupata a partner yahitaji uvumilivu wa hali ya juu hasa kama you want a serious one.... Sasa kaka hivi anae taka kudo tatizo liko wapi?
Nokia yoyote ile yenye uwezo wa ku access ina uwezo wa kujibu with quote kama sikosei... Unatumia Nk namba ngapi if you don't mind? kama huna siri zozote nipe PW nikuwekee avatar then utaweka PW nyingine....
Well..... i will interested to hear how mwanamke feels anapomtongoza mwanaume!!!
:attention::attention::attention::attention:
Alter, nani alimuonesha ODM how to atach a picture? he is misusing the feature na anapotosha mada. ni namna nyingine ya kuchakachua. And what is that picture of you still sleeping? how did he take it??? :angry:
Halafu umeona? he has liked this post twice than once. Ngoja niongee nae, this is not proper. (Au ndio gia zake za kukutongoza? coz in this case itabidi nimwache upambanae nae mwenyewe)Sina la kusema.... mimi speechless..... hanitakii mema lol. Wee muache nikiondolewa home nitahamia kwake na mama Matesha.
Afu wewe! Hujajua nimegradyueti digrii ya kufyatua na kuapulodi mapicha kwa JF? Cheki na Invizibo. Afu jana ukayatoa baadhi ya mapicha. Mi nakuangalia tu na nakuandalia Ban.Alter, nani alimuonesha ODM how to atach a picture? he is misusing the feature na anapotosha mada. ni namna nyingine ya kuchakachua. And what is that picture of you still sleeping? how did he take it??? :angry:
Hehehehe.... Na bado sijapata shahada ya pili. Ntakuwa naweka ma movideo kabisa. Ole wako ukatize anga zangu na nguo za kuazima.... nakutoa front page ya breaking news MMU.:lock1:Sina la kusema.... mimi speechless..... hanitakii mema lol. Wee muache nikiondolewa home nitahamia kwake na mama Matesha.
Afu wewe! Hujajua nimegradyueti digrii ya kufyatua na kuapulodi mapicha kwa JF? Cheki na Invizibo. Afu jana ukayatoa baadhi ya mapicha. Mi nakuangalia tu na nakuandalia Ban.
My inbox is not richabo.... afu FYI hii avatar yako ya sasa hata ukinigongea Like wala sisisimki.:crazy: Lakini haimaanishi kuwa huruhusiwi kunigongea hako kayuziful batan.[/B]
ARE YOU THREATENING A MOD?????? THIS IS TOO MUCH. Alter, ngoja hii conversation niipeleke PM, just between ODM and I. lol
Shhhhh! Leo niko na Mrusi R. Na kikawaida ukiwa na guts za kumtongoza MOD ujue umefikia kikomo cha elimu ya utongozaji. Yaani unaweza kutongoza mke wa Mfalme Mswati bila wasiwasi wowote.mmmmmhhhhhh!...
kama kawaida yake odieem!...
haya jamani...!
minarudi kulima vinyungu huku kigonzire...!tumaini university kwa mbele kule
[/B]
ARE YOU THREATENING A MOD?????? THIS IS TOO MUCH. Alter, ngoja hii conversation niipeleke PM, just between ODM and I. lol