Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Jamani jamani jamani.......... Hii lugha ya Dave Cameroon mtuonee huruma wajukuu wa Mwalimu Nyerere tuliosoma shule za sekandare za kata tukaishia fom tuu B.....

Khaa!!:crazy:
 
Bi mkubwa,

Habari yako binafsi kwanza....

Huyo mwanamke ambaye hatongozwi huyo tena ni kiboko ua labda hajui matumizi ya mtandao.....

Maana siku hizi unatongozwa na mtu hata hamjuani matongozo meeengi mpaka uanshangaa huyu mtu ananijuaje mimi kama ni jini je???

JF unatongozwa, FB unatongozwa, Twita unatongozwa nk basi ni vurugu tupu
 

Finest tafadhali naomba tafsiri ya hapo kwenye bluu
 
kingine dharau kuna baadhi ya wanawake hujamsalimia anakuangalia kama choo, utathubutu kumtongoza?


 
Lol. . mapenzi na mahusiano dah! mapenzi yanarun dunia! sababu nyingi zinasababishwa na infriority complex ya kaka zetu! mwanamke ajifanyishe wa chini ili atongozwe? yani ingekuwa kwa mila zetu mwanamke unaweza ukaanza ingekuwa bora sana jamani!
 
Dena hakuna njia za kuzuia mwanamke kutongozwa.

 

Billionare utakua hujanisoma.... Sijasema kua kutongozwa ni ufahari... Nimesema (tena within posts sio the original 1st post) kua ni sunnah. Mwanamke mwenye heshima zake na anayejiamini pia nae anahitaji kutongozwa pia.... Na sio kwa kujivika sura ya Uraisi. Hili swala lipo katika jamii.... Naomba uichukulie post kama post for I do not mean kua nahitaji kutongozwa.... No!



Mwanaume kumtongoza mke wa mtu sababu ni nyingi saana na hilo ambalo umesema ni moja wapo. But I do know for a FACT kua mwanaume anaweza penda mke wa mtu na asimtongoze tokana na heshima alo nayo juu yake. For mtu kua mke wa mtu haimaanishi kua wanaume wengine hawawezi muona na ku appreciate her beauty. Hata hivo kuna mwingine akimpenda mke wa mtu anaweza akamtongoza na akamaanisha na sio sababu ya dharau, thou in one in 50. Na pia mke wa mtu hutongozwa tokana na yeye the way alivo ji potray.... Take note: wanaume wengi ambao hutongoza mke wa mtu hufanya hivo kwa kujaribu na si kumaanisha hasa, ila ikitokea kakubali then ratiba itafuata kama kawaida.....



Mwanaume mara nyingi huoa the opposite ya mwanamke ambae anapenda for the simple reason akiamini kua na wenzao ndio hicho huvutiwa (sometimes forgetting kua beauty is in the eyes of the beholder); Believe me you I know kua majority ya wanaume anataka mke ndio awe mzuri lakini sio kuvuka mpaka for anajua kuna waharibifu ambao wame dedicae maisha yao kuchanganya wake za watu hasa hapa mjini.... Ndio maana wadada ambao wamefika age ya kuolewa na wapo so outgoing kupata mume wa kumuoa ni kazi.... As much as atapata wengi wa kutaka mdate.. Sio wa kumuoa.. at the end of the day a man needs an Ordnary woman... but an extra ordinary wife and Mom.

Kwamba am I a funny Item.... Nimeshindwa jibu for i don't exactly know what you meant.... Please elezea vema.
 
Mie wala hawa hawanisumbuagi coz najuaga wanahangaika tu,hasa hasa kwa rejao wataishia kumwangalia kwa macho mwenyewe keshasema anawaogopa!!!

Isitoshe password za kule mahala rejao alishanimilikisha kitambo lol!

hahahaha.... Mapenzi yako na Rejao kiboko.... Itabidi nihakikishe your big shem yupo karibu na Rejao...lol... Watapeana mawazo mazuri kuhusu wake zao....:lock1:


Oh' PA How glad I am to have seen you leo.... I missed you.

Na hii post.... True to the core.... sina la kuongeza.... Dah!
 
Habari zako mamii?

Daaah hata sina la kusema, ila ukweli kuna matongozo mengine mpaka mwenyewe unasema hiki nini! Kunalijamaa limoja lilinitongoza kwa sms akidai alinishindwa kuniface yaani niliona aliniudhi sana na alinifanya nijiulize mara 10 10 kwa nini mimi? Niliona kama amenidharau sana.

Lakini mwisho wa siku............"Never get Angry. Never make a Threat. Reason with people"
 


Kid sis mimi naamini saana the way wajipotray ndio hasa the way wachukuliwa.... Take note kama wewe watongozwa kila siku ya Mungu then kuna tatizo ambalo laweza kua ni wewe mwenyewe (maybe uvaaji), mazingira uliopo na mazoea yako dhidi ya walo kuzunguka. Naamini kua mwanamke ukijiheshimu na waonekana wajiheshim wale walo kuzunguka ikitokea kuna anae taka kukutongoza lazima ajipange kwanza.... na kama wanaokutongoza wajipanga kwanza haiwezekani kua utatongozwa ile mara kwa mara.... For watakuepo wale watakutamani but wataridhia kula kwa macho....

Umenipata dear?
 
Umri sio kigezo mbona mimi natongoza mabibi kabisa wenye mvi

Wengi wanaume hu prefer younger.... as in 38 kusuka.... sasa walo more than that age ni wengi... Inakuaje kwamba wanavutiwa na Mende tu? lol... Si bado tatizo ni lile lile?
 
Nipe contacts zake fastaaaa
OTIS

nitupie link ya jina lake la FB kwenye pm yangu

First Lady naona kaleta mambo.... lol


I am impressed shemeji yangu.... Inabidi siku moja moja uwe unashinda na Sweetie ili aendelee kua na mawazo haya.... nahisi kachakachuka kampani anayo shinda nayo..... lol... Kikubwa tu asiku convince kuingia chama chochote kile....
 


Lemonade naona umenipata vema.... This is Exactly what I meant....
 
Thank you Ashadii for this useful post
Nitarudi baadae kuchangia

Make sure you come back.... I need your input hapa.... Thanks for the acknowledgement.

Shem bana....

Yaani ukishajibiwa kama hapo bold, kwa sisi wazoefu tayari tushaachana naye..... khaa!


hahaha.... Si nilikwambia kua huyo Fatma alikua anataka? Alafu shem si kuna ile ambayo wanaume huangalia kama atapata hapo anapo papenda ama lah! Akiona kua chances are slim wala hata haangaiki kabisa! lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…