Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vizuri ukatumia lugha moja tu,(kiswahili au kingereza). kwa kuchanganya hivi wana jamii wanakuona kama Mshamba. Na huyo mwanamke mzuri asietongozwa ana mkosi unaoitwa KIMAVI.
Orait sisy,Sis naona umenipata kabisaaa..... Ninaposema tongozo ni zile genuine tongozo, sio za kulazimisha.... na kutega ni kulazimsha.... atleast that is IMO.
Orayt....
Turudi kwenye mada. Mara ya mwisho kutongozwa ilikuwa lini? Ulijisikiaje? Ulikubali au ulikataa? Kwanini?
Hii siyo ofu topiki, No Sori to ADI.
Hehehehe.... kile kibuti chako cha staki nataka?.... Hata mi nlijua tu ulikuwa unakataa kimagumashi...
Ni vizuri ukatumia lugha moja tu,(kiswahili au kingereza). kwa kuchanganya hivi wana jamii wanakuona kama Mshamba. Na huyo mwanamke mzuri asietongozwa ana mkosi unaoitwa KIMAVI.
Si lazima niseme sori pale napoona nachakachua yuziful sredi ya darling shem? Bila hizo sori mbona huu uzi ungeshahamishiwa chit chat?mmh! Shem mbona leo Sori zimekua nyingi? Within this thread sio chini ya 4.... Is there something I need to know ambalo waona I don't? lol
Wee ODM nilikua nakata ki ukweli ukweli ujue?!! :A S-frusty2: hahahaa....
Orayt.... pole kwa matatizo. Ila hayahusiani na mitongozo wala mafumanizi, right?
Sori ADI fo zis ofutopiki, (Source: Kbd)
Kwani imekuwaje shem, mbona wajitetea sana? We twanga malangweji unayoona yanafaa na watu tunakuelewa. Ambaye hawezi kukuelewa, of which si lazima akuelewe, si akupotezee tu..... khaa! Jamvi kubwa hili bana!Wanajamii hata niki Stick kwa lugha moja hawata kosa la kuniita hata nifanyeje... Tupo wengi hapa Tembele na nivigumu kuweza ridhisha wote. It is my own way of writing, sifanyi hivo kwa maana ya kusema kua I am sending any particular message..... HAPANA! (maana naamini kua sasa wananchi hasa watumiaji wa mitandao tuko beyond that); basi tu it just happens hua nachanganya. Nipo comfy kuandika kiingereza ila nipo very comfy kuongea Kiswahili. kuepusha kuandika kiingereza ambayo naona yaweza limit michango (of which I really need) ndio inanifanya niandike Kiswahili; which inevitably inanifanya nichanganye na Kiingereza (ambacho ndio niko comfy kuandika). Hata hivo nashukuru kwa pointing out the fact.... In the future I will genuinely try my best to stick to one language.....
Nakubaliana na hio ya Kimavi... Naamini kuna watu wana hio....
Nakusalimu Kongosh asali ya ODM.Nakutizama tu, kwa mbaaaaali sana lakini.
lol.... Ndahani bana.... Ndio usitongozwe kabisa?? Ilo kwa kweli ni tatizo. Labda kama tayari you have your own....
Kutongoza kumepungua sana nyakati hizi...incedentally na hata wanawake wanaohitaji mpaka watongozwe (ili 'watoe mzigo' kwa mfano!:thinking🙂 pia wamepungua/wanapungua kwa kasi. I will dare to say kuwa trend ni kwa wanawake wengi zaidi kujirahisisha/kufungua milango na hivyo dhana nzima ya kutongoza inapotea. So katika mazingira haya mwanamke anayengoja mpaka atongozwe anaweza kujikuta anangoja milele! Au pengine kama alivyosema AshaDii, inawezekana ni namna tu kutongoza kumebadilika!
Ladba nitoe true story yangu moja - zipo nyingi za namna hii zilinikuta kipindi hicho (na sasa? -mmmhh wife huwa anapita humu mara kwa mara😛eep🙂:
Lakini ninachotaka kusema ni kuwa kutongoza (actively) kunapungua sana....kuna mawasiliano na makubaliano mengi yanafanyika by implications na body language tu. Kwa mfano kwa namna anavyovaa mwanamke anaweza kutoa ujumbe kwa kukusudia au bila kukusudia fulani kwa 'potentials'! ipo mifano mingi na naamini wanaume wengi humu wanaweza kuwa mashuhuda.
Wanajamii hata niki Stick kwa lugha moja hawata kosa la kuniita hata nifanyeje... Tupo wengi hapa Tembele na nivigumu kuweza ridhisha wote. It is my own way of writing, sifanyi hivo kwa maana ya kusema kua I am sending any particular message..... HAPANA! (maana naamini kua sasa wananchi hasa watumiaji wa mitandao tuko beyond that); basi tu it just happens hua nachanganya. Nipo comfy kuandika kiingereza ila nipo very comfy kuongea Kiswahili. kuepusha kuandika kiingereza ambayo naona yaweza limit michango (of which I really need) ndio inanifanya niandike Kiswahili; which inevitably inanifanya nichanganye na Kiingereza (ambacho ndio niko comfy kuandika). Hata hivo
nashukuru kwa pointing out the fact.... In the future I will genuinely try my best to stick to one language.....
Nakubaliana na hio ya Kimavi... Naamini kuna watu wana hio....
Wengine Hawatongozeki na hata ukiwatongoza watakuona kama umechanganyikiwa, Na hiyo hali kwao imezoeleka. Eti Age haina nafasi, Oh please if that the case nafikiria kumtokea Bikidude je ataniona nina akili timamu? Au atahisi zishafyatuka?
...wako wapi hao wenye njaa ya kutongozwa...
Orait sisy,
Nimekusoma vizuri kbs,
Ila kuna mtu tulikua tunabishana hapa kuhusu hii topic yeye anasema eti,
Kuna wanawake wenye damu ya kutongozwa yani wao hata wavaeje mwaume yoyote rijali akikuona lzm amtongeze,
Na eti kuna wengine wana mivuto na kila kitu cha kumvutia mwanaume but awatongozwi ndio ana sema hawana damu ya kutongozwa,hili nalo unalionaje sisy!!
Si lazima niseme sori pale napoona nachakachua yuziful sredi ya darling shem? Bila hizo sori mbona huu uzi ungeshahamishiwa chit chat?
Hehehehe.... eti ulikuwa unakataa kiukweli? Ndo yale yale ya enzi zile ya michezo ya baba na mama..... mi thtaki huko afu mwafanya kinguonguo. Chezeya hommie?
Sori ADI fo zis ofutopiki lol
Kwani imekuwaje shem, mbona wajitetea sana? We twanga malangweji unayoona yanafaa na watu tunakuelewa. Ambaye hawezi kukuelewa, of which si lazima akuelewe, si akupotezee tu..... khaa! Jamvi kubwa hili bana!
Too kind of you sis unamjibu in a humble way (that is why tunakupenda).......tunaangalia content hapa in relation to real life ye anazingua na mambo ya language consistent???? Ama kweli simple minded wana- discuss characters instead if issues.... Halafu analeta synonym badala ya mchango bana....aaaargghhhhhh :crazy::crazy:
Kama vipi akanunue gazeti huko ndo atachagua la kiingereza au kiswahili
Asante AshaDii..nitakaribia. Huyo samaki mkavu wa namna hiyo sijawahi kuonja....itakuwa mara ya kwanza!SMU Umenichekesha wewe!!! lol...
Nimesoma hio story na kwa kweli imetoa the real pic.... Imagine siku ya kwanza amekuja na the next week akaja kwa ulaini na bila hiana.... Kweli wanaume wa sasa wana raha jamani. Wanawake wanakua kama ni wa kuokota tu, hadi yauma!
BTW You deserve a lunch.... Karibu chakula cha mchana hapa.... Umewahi kula Ugali kwa samaki mkavu wa madafu wa kuchomwa alotiwa ndimu, vinegar na pili pili? Kukiwa na veggies pembeni? Kama hujawahi karibu bana..... lol
I see!,.....hapa kuna vituko kweli, binti wa miaka 30 anajiita mama wa miaka 50! wonderfull, anyway back to topic nadhani umeonesha kwamba hata wake za watu ni ruksa kutongoza, na hapa ndipo nilipokuwa naogopa mimi, kwa hiyo jiandae kwa swaga zangu kwenye pm atimaye face to face. am not joking!!