Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Ni vizuri ukatumia lugha moja tu,(kiswahili au kingereza). kwa kuchanganya hivi wana jamii wanakuona kama Mshamba. Na huyo mwanamke mzuri asietongozwa ana mkosi unaoitwa KIMAVI.

Wanajamii hata niki Stick kwa lugha moja hawata kosa la kuniita hata nifanyeje... Tupo wengi hapa Tembele na nivigumu kuweza ridhisha wote. It is my own way of writing, sifanyi hivo kwa maana ya kusema kua I am sending any particular message..... HAPANA! (maana naamini kua sasa wananchi hasa watumiaji wa mitandao tuko beyond that); basi tu it just happens hua nachanganya. Nipo comfy kuandika kiingereza ila nipo very comfy kuongea Kiswahili. kuepusha kuandika kiingereza ambayo naona yaweza limit michango (of which I really need) ndio inanifanya niandike Kiswahili; which inevitably inanifanya nichanganye na Kiingereza (ambacho ndio niko comfy kuandika). Hata hivo nashukuru kwa pointing out the fact.... In the future I will genuinely try my best to stick to one language.....

Nakubaliana na hio ya Kimavi... Naamini kuna watu wana hio....
 
Sis naona umenipata kabisaaa..... Ninaposema tongozo ni zile genuine tongozo, sio za kulazimisha.... na kutega ni kulazimsha.... atleast that is IMO.
Orait sisy,
Nimekusoma vizuri kbs,
Ila kuna mtu tulikua tunabishana hapa kuhusu hii topic yeye anasema eti,
Kuna wanawake wenye damu ya kutongozwa yani wao hata wavaeje mwaume yoyote rijali akikuona lzm amtongeze,
Na eti kuna wengine wana mivuto na kila kitu cha kumvutia mwanaume but awatongozwi ndio ana sema hawana damu ya kutongozwa,hili nalo unalionaje sisy!!
 
Orayt....

Turudi kwenye mada. Mara ya mwisho kutongozwa ilikuwa lini? Ulijisikiaje? Ulikubali au ulikataa? Kwanini?

Hii siyo ofu topiki, No Sori to ADI.

mmh! Shem mbona leo Sori zimekua nyingi? Within this thread sio chini ya 4.... Is there something I need to know ambalo waona I don't? lol

Hehehehe.... kile kibuti chako cha staki nataka?.... Hata mi nlijua tu ulikuwa unakataa kimagumashi...

Wee ODM nilikua nakata ki ukweli ukweli ujue?!! :A S-frusty2: hahahaa....
 
Ni vizuri ukatumia lugha moja tu,(kiswahili au kingereza). kwa kuchanganya hivi wana jamii wanakuona kama Mshamba. Na huyo mwanamke mzuri asietongozwa ana mkosi unaoitwa KIMAVI.

Kweli umenena kaka huu ushamba (kama unavyodai) hata mie ushanichosha ila sasa
1. P.O Box = Sanduku la posta??????
2. Engine = Injini
3. Box = Boksi

Hapa mtandaoni watu hawaandiki barua ya kuomba kazi muzee so kama vipi potezea tu micharazo na language-coctail

We mbona muandiko wako mmbaya ila tunavuilia tu kusoma hivyo hivyo..................jokes
 
mmh! Shem mbona leo Sori zimekua nyingi? Within this thread sio chini ya 4.... Is there something I need to know ambalo waona I don't? lol

Wee ODM nilikua nakata ki ukweli ukweli ujue?!! :A S-frusty2: hahahaa....
Si lazima niseme sori pale napoona nachakachua yuziful sredi ya darling shem? Bila hizo sori mbona huu uzi ungeshahamishiwa chit chat?

Hehehehe.... eti ulikuwa unakataa kiukweli? Ndo yale yale ya enzi zile ya michezo ya baba na mama..... mi thtaki huko afu mwafanya kinguonguo. Chezeya hommie?

Sori ADI fo zis ofutopiki lol
 
Wanajamii hata niki Stick kwa lugha moja hawata kosa la kuniita hata nifanyeje... Tupo wengi hapa Tembele na nivigumu kuweza ridhisha wote. It is my own way of writing, sifanyi hivo kwa maana ya kusema kua I am sending any particular message..... HAPANA! (maana naamini kua sasa wananchi hasa watumiaji wa mitandao tuko beyond that); basi tu it just happens hua nachanganya. Nipo comfy kuandika kiingereza ila nipo very comfy kuongea Kiswahili. kuepusha kuandika kiingereza ambayo naona yaweza limit michango (of which I really need) ndio inanifanya niandike Kiswahili; which inevitably inanifanya nichanganye na Kiingereza (ambacho ndio niko comfy kuandika). Hata hivo nashukuru kwa pointing out the fact.... In the future I will genuinely try my best to stick to one language.....

Nakubaliana na hio ya Kimavi... Naamini kuna watu wana hio....
Kwani imekuwaje shem, mbona wajitetea sana? We twanga malangweji unayoona yanafaa na watu tunakuelewa. Ambaye hawezi kukuelewa, of which si lazima akuelewe, si akupotezee tu..... khaa! Jamvi kubwa hili bana!
 
I see!,.....hapa kuna vituko kweli, binti wa miaka 30 anajiita mama wa miaka 50! wonderfull, anyway back to topic nadhani umeonesha kwamba hata wake za watu ni ruksa kutongoza, na hapa ndipo nilipokuwa naogopa mimi, kwa hiyo jiandae kwa swaga zangu kwenye pm atimaye face to face. am not joking!!
 
Kwani ukiwa na your own stops other people from owning you? Ndio maana kujaribu huwa hakuishi maana wengine kama vile fisi anavyonyemelea mkono wa binaadamu anayetembea akiamini utaanguka, ndivyo wanavyofuatilia kwa karibu wake za watu wakiamini siku moja mambo yatabadilika.

lol.... Ndahani bana.... Ndio usitongozwe kabisa?? Ilo kwa kweli ni tatizo. Labda kama tayari you have your own....

[/QUOTE]
 
Kutongoza kumepungua sana nyakati hizi...incedentally na hata wanawake wanaohitaji mpaka watongozwe (ili 'watoe mzigo' kwa mfano!:thinking🙂 pia wamepungua/wanapungua kwa kasi. I will dare to say kuwa trend ni kwa wanawake wengi zaidi kujirahisisha/kufungua milango na hivyo dhana nzima ya kutongoza inapotea. So katika mazingira haya mwanamke anayengoja mpaka atongozwe anaweza kujikuta anangoja milele! Au pengine kama alivyosema AshaDii, inawezekana ni namna tu kutongoza kumebadilika!
Ladba nitoe true story yangu moja - zipo nyingi za namna hii zilinikuta kipindi hicho (na sasa? -mmmhh wife huwa anapita humu mara kwa mara😛eep🙂:

Lakini ninachotaka kusema ni kuwa kutongoza (actively) kunapungua sana....kuna mawasiliano na makubaliano mengi yanafanyika by implications na body language tu. Kwa mfano kwa namna anavyovaa mwanamke anaweza kutoa ujumbe kwa kukusudia au bila kukusudia fulani kwa 'potentials'! ipo mifano mingi na naamini wanaume wengi humu wanaweza kuwa mashuhuda.

SMU Umenichekesha wewe!!! lol...
Nimesoma hio story na kwa kweli imetoa the real pic.... Imagine siku ya kwanza amekuja na the next week akaja kwa ulaini na bila hiana.... Kweli wanaume wa sasa wana raha jamani. Wanawake wanakua kama ni wa kuokota tu, hadi yauma!

BTW You deserve a lunch.... Karibu chakula cha mchana hapa.... Umewahi kula Ugali kwa samaki mkavu wa madafu wa kuchomwa alotiwa ndimu, vinegar na pili pili? Kukiwa na veggies pembeni? Kama hujawahi karibu bana..... lol
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wanajamii hata niki Stick kwa lugha moja hawata kosa la kuniita hata nifanyeje... Tupo wengi hapa Tembele na nivigumu kuweza ridhisha wote. It is my own way of writing, sifanyi hivo kwa maana ya kusema kua I am sending any particular message..... HAPANA! (maana naamini kua sasa wananchi hasa watumiaji wa mitandao tuko beyond that); basi tu it just happens hua nachanganya. Nipo comfy kuandika kiingereza ila nipo very comfy kuongea Kiswahili. kuepusha kuandika kiingereza ambayo naona yaweza limit michango (of which I really need) ndio inanifanya niandike Kiswahili; which inevitably inanifanya nichanganye na Kiingereza (ambacho ndio niko comfy kuandika). Hata hivo

nashukuru kwa pointing out the fact.... In the future I will genuinely try my best to stick to one language.....

Nakubaliana na hio ya Kimavi... Naamini kuna watu wana hio....

Too kind of you sis unamjibu in a humble way (that is why tunakupenda).......tunaangalia content hapa in relation to real life ye anazingua na mambo ya language consistent???? Ama kweli simple minded wana- discuss characters instead if issues.... Halafu analeta synonym badala ya mchango bana....aaaargghhhhhh :crazy::crazy:

Kama vipi akanunue gazeti huko ndo atachagua la kiingereza au kiswahili
 
Wengine Hawatongozeki na hata ukiwatongoza watakuona kama umechanganyikiwa, Na hiyo hali kwao imezoeleka. Eti Age haina nafasi, Oh please if that the case nafikiria kumtokea Bikidude je ataniona nina akili timamu? Au atahisi zishafyatuka?

Wee slave wa Allah UMENICHEKESHA Kweli yaaani! Lmao! Hivi hua unafanyeje hadi inakua hivo?

...wako wapi hao wenye njaa ya kutongozwa...

Wee WN habu toa ujuzi wako hapa bana.... acha kutafuta wa kutongoza.... lol
 
...Siberia!....sote twajua ni ughaibuni, lakini sijasikia mtu anang'ang'ana kwenda huko..
mvuto wa mwanamke watokana na "vibes" zake mwenyewe...anayejikweza kuliko "uzuri" wake
anajipunguzia mvuto wake wa asili.
 
Orait sisy,
Nimekusoma vizuri kbs,
Ila kuna mtu tulikua tunabishana hapa kuhusu hii topic yeye anasema eti,
Kuna wanawake wenye damu ya kutongozwa yani wao hata wavaeje mwaume yoyote rijali akikuona lzm amtongeze,
Na eti kuna wengine wana mivuto na kila kitu cha kumvutia mwanaume but awatongozwi ndio ana sema hawana damu ya kutongozwa,hili nalo unalionaje sisy!!

Nakubaliana nalo kid sis.... kuna watu wanadamu za kutongozwa hadi hua kero kwao.... Believe me you, A guy akimuona na akaona kua ni level yake ni lazima ajilipue bila kujali atampata ama Lah! na kuna mwingine ni mzuri na mrembo lakini bado hatongozwi vile vile.... Huu mfano wako nafananisha na ile wakuta binti wala hata sio mzuri saana ila wanaume ambao hua apata ni wa maana na kumpa pesa za kutosha na pia kufanyiwa maendeleo.... na kuna wale ni wazuri kweli ila ana bahati mbaya ya kuto fanyiw hivo vitu.....
 
Si lazima niseme sori pale napoona nachakachua yuziful sredi ya darling shem? Bila hizo sori mbona huu uzi ungeshahamishiwa chit chat?

Hehehehe.... eti ulikuwa unakataa kiukweli? Ndo yale yale ya enzi zile ya michezo ya baba na mama..... mi thtaki huko afu mwafanya kinguonguo. Chezeya hommie?

Sori ADI fo zis ofutopiki lol

hahaha.... naona a THANK U is entitled hapa.... lol.... Sikujua shem kua unalinda maslahi ya thread..... :cool2:

hahahaha..... Naona nikubali.... hapo hamna chezea..... lol
 
Kwani imekuwaje shem, mbona wajitetea sana? We twanga malangweji unayoona yanafaa na watu tunakuelewa. Ambaye hawezi kukuelewa, of which si lazima akuelewe, si akupotezee tu..... khaa! Jamvi kubwa hili bana!

Too kind of you sis unamjibu in a humble way (that is why tunakupenda).......tunaangalia content hapa in relation to real life ye anazingua na mambo ya language consistent???? Ama kweli simple minded wana- discuss characters instead if issues.... Halafu analeta synonym badala ya mchango bana....aaaargghhhhhh :crazy::crazy:

Kama vipi akanunue gazeti huko ndo atachagua la kiingereza au kiswahili

Wapendwa.... Asanteni.... Ila simlaumu.... Naamini kabisa aliuliza kwa SIO nia mbaya. Na naamini kua katika jamii alozungukwa ni kua watu ambao huchanganya lugha yawezekana hufanya kwa malengo ambayo in the end hu portray "USHAMBA" Na hivo kwa ku point out hilo kwangu alikua na nia ya kunitoa katika kundi la "Washamba" hivo naamini kabisa kwa kumjibu vile kanielewa na next time atanisoma hivo hivo.....

"Don't hate the Sinner, hate the Sin" Mahatma Ghandhi.
 
SMU Umenichekesha wewe!!! lol...
Nimesoma hio story na kwa kweli imetoa the real pic.... Imagine siku ya kwanza amekuja na the next week akaja kwa ulaini na bila hiana.... Kweli wanaume wa sasa wana raha jamani. Wanawake wanakua kama ni wa kuokota tu, hadi yauma!

BTW You deserve a lunch.... Karibu chakula cha mchana hapa.... Umewahi kula Ugali kwa samaki mkavu wa madafu wa kuchomwa alotiwa ndimu, vinegar na pili pili? Kukiwa na veggies pembeni? Kama hujawahi karibu bana..... lol
Asante AshaDii..nitakaribia. Huyo samaki mkavu wa namna hiyo sijawahi kuonja....itakuwa mara ya kwanza!
 
I see!,.....hapa kuna vituko kweli, binti wa miaka 30 anajiita mama wa miaka 50! wonderfull, anyway back to topic nadhani umeonesha kwamba hata wake za watu ni ruksa kutongoza, na hapa ndipo nilipokuwa naogopa mimi, kwa hiyo jiandae kwa swaga zangu kwenye pm atimaye face to face. am not joking!!

Matola.... taratiiiiibu! :hand:
 
Back
Top Bottom