Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Namshukuru sana Mungu kwamba mie ni BBC (Born before computers).....Hawa BAC (born after PC) wana matatizo sana na wanakosa mengi....may be wanapata mengi pia!!

Yaani hayo mambo ya mtandaoni, yatakuwezeshaje umwone Bibi DC anavyohangaika kukwepesha macho, kuandika kwenye udongo kwa kutumia herufi alizozigundua yeye au kutafuna kucha? Na yeye ataona wapi Babu anahangaika kuweka mambo sawa, mara kwa kuinama au kuweka mkono mufukoni??

Yaani sijui mzuka unatoka wapi katika mazingira ya PC!!!

Babu DC!!

Oh' hua napenda this side of you.....lol... hahahaha......

Siku hizi wawasiliana na mtu na mwaangaliana kupitia pc, hamjawahi onana wala hata hamko karibu, saa ingine you are thousands of miles away! Hii technology is the most accelarator ya ku depreciate kwa morals katika jamii like no other. I sometimes envy the women waliishi zamani, but sometimes I still think I have lived katika the Best times ambazo I could have lived na namshukuru Mungu kwa hilo....
 
If I answer this, you might think of me as a Mario of kind or barbaric and 'unforgiving?'

Please do.... I can handle babaric and I don't believe in hating one's opinion but rather understanding it.....
 
hahahaha..... "To love and feel loved" Source: Teamo.....lol

Nimeipenda hii post.... Rejao naona alete upyaaa mahari, maana ile alotoa haijatosha kabisaaaa! lol

Kutongozwa bana kua raha yake, kama shem wangu ODM alivo ongea "Kutongozwa ni sunnah" ili mradi isikithiri... too much of anything is harmful.

Halafu ukumbuke (blue) kuwa waume zenu wanapenda wao watongoze ila wake zao wasitongozwe!!

Hahahah hahaha,hiyo ishakula kwako sisy,maadam ulishaikubali le na mkamkabidhi mke ndio basi tena labda akuonee huruma tu lol!

Sasa itawezekana vp mtu utungozwe kwa kiasi ile hali sio ww unapenda utongozwe badala yake kila anayekutongoza wala hajui leo wamekutokea wangapi?

Hebu nisaidie hapo sisy!!
 
Hivi Rejao, kumbe unaniogopa??
Ndo maana ukahamia kwa Canta sababu kafulia?
Mbona ningekuachia hiyo gari jamani.

Sorry kwa kuchakachua ADI, macho ya rejao hunitia upofu.

Kuna mwanamke huwa nakutana naye mara nyingi maeneo ya Serena anaendesha hii gari! Kiukweli hata mimi huwa namuogopa!
 
Huyo ameshindwa kujua umuhimu wakutenga mda wa kazi na mda wa ku socialise,Hata mimi mwanamke wa namna hiyo simtaki maana inaonyesha ni workerholic hata atakosa mda wa kuspend weekend na watoto wetu hapo baadae.

For a guy like me,I count weeekends to be a precious time to spend time with my kids and family and relatives that's if ill have one.Huyo mwanamke hata mimi asingenifaa,huyo kazi ni mbele kuliko familia na hata awe mzuri vipi ni kazi bureee tuu.

Killer.... I like you na mtazamo wako, Wish you love and happiness to your family bila kusahau Amani ndani na in between your family.

View attachment 49638Kuna mwanamke huwa nakutana naye mara nyingi maeneo ya Serena anaendesha hii gari! Kiukweli hata mimi huwa namuogopa!

Wow!!!

@Cantalisia.... Wale wanawake wenye mtindo wa kujitongozesha hua wana mtindo wa kujilengesha karibu na magari kama haya... akikuta dereva mwanamke.... anakua dissapointed, anamuangalia huyo mwanamke to the extent it eyes could kill huyo dada wa watu aweza kufa.... lol
 
Shem kuendeleza mila hakuna cha kutongozana bana... Si unajua kutongozana kuna uhusiano na vijiaibu na kung'ata ukucha au unyasi?

Hii ya kudumisha mila inakuwa kama ifuatavyo:
ODM: Vipi Fatu, leo uko free.
Fatu: Hapana labda kesho (Hapo usisahau sijashusha tongozo)
ODM: Saa ngapi
Fatu: Mida ya jioni ukitoka job
ODM: Poa basi ntakupigia
Fatu: Sawa lakini safari hii tusiende Mwarubaini, ile gesti vitanda vinapiga kelele sana (Kumbuka sijawahi enda naye hapo, na wala huna sababu ya kumuuliza ulijuaje)
ODM: Poa tutaenda Lexus, pale pasafi sana
Fatu: Poa, usichelewe (naye haulizi nilijuaje wakati sijaenda naye pale) Afu ukaninywee tena viroba vyako unikomoe kama siku ile.

Done!

Kuna kutongoza hapo? Mila haijadumishwa?

Cinq sur cinq..................

My take kwa topic;

1. Wanaume wengi (haswa vijana) siku hizi ari ya maisha iko juu sana wajemeni so wadada wenye hizo character ainishwa hapo juu kwa kweli watakuwa wameliwa as life inachukua time and ol that it takes to lead a good life....then ukajitwishe na mdada kama huyu aloletwa na AD kweli hapo utakuwa unatafuta mkwamo maana wa aina hiyo ndo wale walolelewa kama mboni za jicho na life ya sasa wanawake majembe (wise na hardworkers) ndo chaguo la kwanza.......nani anataka pambo lisilo na msaada (hata tie za maua mengi pia hatuvai siku hizi itakuwa urembo na mapozi????????)

2. Low profile attitude ndo silaha kubwa ya ku win relationships, hata kama wewe ni successful na rich ukiweza ku swing with a low tone utaweza kupata access ya watu wa kila aina and hence unakuwa na sample size kuuuuubwaaaa.I believe mtu mwenye mafanikio hajifichi bana so you need not to potray.....just be simple halafu mtu akija kujua your real measure wakati mshazoeana ndo inakuwa poa sana.

3. Wadada mbadilike tu jamani enzi za ku-boast zishaenda na maji hasa walobarikiwa mafanikio n yet wako single mjaribu kutenganisha success na human dignity as utakuta mtu anatembea na salio lake la bank kichwani, aina ya gari anayotumia, cheo chake.....na hivyo ndo hadidu yake ya rejea na kusahau kuwa hayo sisi WANAUME kwetu si deal bana labda kwa WAVULANA ndo wanababaika na siku hizi hatusifiani kuwa na mwanamke mzuri saanaa as a permanent partner (cute n sexy)...............

NB; Hata wanaume wenye sifa kama hizo nao pia ni ngumu kwao kupata wanawake na huishia kupata partners lukuki na mwisho wa siku kuwa na watoto kila mmoja na mama yake

AD hivi ni kweli hawatongozwi hawa au kwa kusema hivi wanamaanisha hawapati wanaume permanent and reliable?????? Maana si kweli kwamba hawana relations kabisa hawa.....................wengi ni victims wa corporate love and lifestyle wamegundua hailipi na wanatamani real love life na unfortunately sasa umri ni saa tisa na robo

Naomba kuwasilisha hoja
 
Olesa nimepena post yako na insight umetoa.... It really is intense THANK YOU.

Unadhani I am kidding kua kuna wanawake hawatongozwi? lol Hio ya kupata Mwanaume permanent na reliable it is another issue kabisa. Hio ipo na kwa wanaume pia..... Na wapo na they don't have relations, thou sio wengi saana.... ndio maana ni ngumu kuamini.
 
Sidhani kama kutongozwa ni fahari kwa mwanamke mwenye heshima zake na anayejiamini. Nifahamuvyo mimi kama mwanaume, ili nifikirie kukutongoza maana yake nimekutamani na nimeona uwezekano wa kukupata upo. Kwa maana nyingine umejivika sura ya urahisi kiasi watu wanakuona easy prey na kukuaproach.

Nataka nikuhakikishieni wadada kuwa ni dharau tu ndio humfanya mwanaume akamtongoza mke wa mtu. Lkn cha kushangaza mwanamke mwenye kutongozwa hujiona amebahatika sana bila kujali tafsiri ya kinachoendelea. Mwanamke mwenye kujiheshimu na muaminifu kamwe hajijengei mazingira ya kutongozwa. Kwa kifupi hajiviki sura ya ugawaji na hivyo hata wanaume huliona hilo na kwa hiyo hawajisumbui naye.

Na labda nikudokeze jambo kuhusu mambo ambayo yanawaweka bize. Kwa mfn; wanaume wengi hukatia shingo na kushangilia anapopita mwanamke mwenye makalio makubwa at the same time ni wanaume wachache sana huoa wanawake wa namna hiyo. Hapa utaona kuwa vitu vingi hushabikiwa nje lkn ndani ya mtu havina thamani kwa hiyo sidhani kama wanaokutongoza kila kona ya mji huwa wana nia na wewe zaidi ya ku-hunt easy craps for funny. Are you funny item?
 
Killer.... I like you na mtazamo wako, Wish you love and happiness to your family bila kusahau Amani ndani na in between your family.

Wow!!!

@Cantalisia.... Wale wanawake wenye mtindo wa kujitongozesha hua wana mtindo wa kujilengesha karibu na magari kama haya... akikuta dereva mwanamke.... anakua dissapointed, anamuangalia huyo mwanamke to the extent it eyes could kill huyo dada wa watu aweza kufa.... lol
Mie wala hawa hawanisumbuagi coz najuaga wanahangaika tu,hasa hasa kwa rejao wataishia kumwangalia kwa macho mwenyewe keshasema anawaogopa!!!

Isitoshe password za kule mahala rejao alishanimilikisha kitambo lol!
 
Halafu ukumbuke (blue) kuwa waume zenu wanapenda wao watongoze ila wake zao wasitongozwe!!

Babu DC!!

hahaha.... DC wangu hana wasi wasi..... Anajua kabisa sitongozwi, which is true.. Bahati ilioje! Na good thing I have wangu tayari.... lol

Hahahah hahaha,hiyo ishakula kwako sisy,maadam ulishaikubali le na mkamkabidhi mke ndio basi tena labda akuonee huruma tu lol!

Sasa itawezekana vp mtu utungozwe kwa kiasi ile hali sio ww unapenda utongozwe badala yake kila anayekutongoza wala hajui leo wamekutokea wangapi?

Hebu nisaidie hapo sisy!!

Canta sijakuelewa ujue?? Nieleweshe vizuri....

Kwa Rejao najua imekula kwangu....lol
 
Mwanamke kutotongozwa atake mwenyewe tu, au labda kama anataka unrealistic hunks with own money tree and a plot on a sea of tranquility, kila mtu ana wake ni kujua tu wapi pa kuangalia. Kama una kinga ndoo upate maji ya mvua katikati ya Atacama Desert what do you expect?
 
Mambo TFF ooops sorry TF!

Ulipotelea wapi? Karibu tena.

Mwanamke kutotongozwa atake mwenyewe tu, au labda kama anataka unrealistic hunks with own money tree and a plot on a sea of tranquility, kila mtu ana wake ni kujua tu wapi pa kuangalia. Kama una kinga ndoo upate maji ya mvua katikati ya Atacama Desert what do you expect?
 
hahaha.... DC wangu hana wasi wasi..... Anajua kabisa sitongozwi, which is true.. Bahati ilioje! Na good thing I have wangu tayari.... lol

Canta sijakuelewa ujue?? Nieleweshe vizuri....

Kwa Rejao najua imekula kwangu....lol
Umesema hapo inabidi mtu utongozwe kwa kiasi isiwe too much!
Sasa swali langu ni hivi,mm km mwanamke huwa siwezi kujipangia nnitongozwe na wangapi may be kwa siku,
Hawa jamaa wanajiukuta tu wamenitongoza kila mtu kwa wakati wake na bila mwingine kujua km kuna aliyenitongoza kabla yake na sitakiwi kutongozwa tena!

Sasa mm km mwanamke nifanyeje ili nitongozwe kwa kiasi? na kiasi ndio km vp?
 
Shem.....nakusalimu.

Ama baada ya salamu naomba nikuulize kumbe kutongozwa ni deal eh? Ole wake mtu anitongozee mai mama Matesha wangu.....

Vingine vunavyochangia mwanamke kutotongozwa🙁Source: ODM)

1. Akiwa mzuri sana (wanaume tunaogopa kupigwa vibuti ati) kuna ile hulka ya wanaume kuona mrembo kama huyu si size yangu. Sasa kila mtu akiona we si size yake ndo basi tena. Watu watakuwa wanafaidi kwa macho tu.
2. Akiwa mbaya sana (Yaani mwanamke ana sura kama ngumi ya mwizi) afu basi hata kujifanyia make ups hajui au hataki. Afu ukute mchafu kama choo cha stendi..../ nani atakutongoza?
3. Maringo / majivuno kwa sana
4. Utajiri... Kama una vijisenti vyako kama vya Chenge, ni wanaume wachache sana wenye guts za kukutokea.
5. Kichwa / Shule.... Yaani kama umepiga elimu zako kadhaa kichwani, tena zenye heshima ya haja... vidume huwa havipendi "kutawaliwa".

Sijui niendelee?

Asprin, unatisha, hizi sababu nimezikubali! Ni vyema wadada wate ambao hawatongozwi kuzingatia haya yaliyoandikwa hapa hasa namba tatu! Wajichanganye na kuacha kunata, itawacost!
Asprin, kwa sababu ya uwezo wako wa kuchambua mada, nakupandisha cheo na sasa utaitwa Hedex!
 
Umri sio kigezo mbona mimi natongoza mabibi kabisa wenye mvi
 
Hapo red ni kweli kabisa.

Lakini in case hajapata mwenza kabisa, maisha yasimame?
Kuna kuishi kwa jinsi unavyotamani iwe na kuishi kulingana na hali halisi.
Kama wa kumuoa hajatokea, maisha lazima yendelee

Nimeona dada mmoja kidogo arukwe na akili kwa kushindwas kuuishi ukweli kwamba yuko single na hana mtu wa kudate naye.
Hii ilimfanya akaparamia kijana wa mjini wa kwanza, baada ya yule kijana kuona yuko desparate akamtumia kwa shida zake, afu siku moja akamwambia wiki ijayo 'naoa'

Baada ya hapo kapata mwingine wa mjini, akamchanganya na watu kama 4, afu akamtema.

Sasa huyo dada sasa hivi ukilutana naye hadi unamkimbia, kawa kama wale maprofesa wa zamani wakisoma wanakuwa na maneno meeeeeengi hadi hujui yanatoka wapi.
Ilibidi aende kuombewa Nigeria lakini haijasaidia sana

Nie huwa namshauri, akubaliane na hali halisi kwamba jua limekuchwa na hajaolewa, afu kuanzia hapo aanze kuishi maisha yake kwa kufurahia.

Sioni haja ya kusononeka sana eti kisa hatongozwi, ikibidi atafute mmoja aseme naye.

Nimependa this experience ume share.... Inafundisha saana. Na hii ndio inatucost wanawake.... Kwamba lazima uwe na partner in your life. Haya mambo unapima Kongosho.... In life there are things we want na things we need in order to be who we are na watu wa kujithamini na kujikubali. A partner ni mtu ambae we want, but sio neccessity katika maisha.

Huyo dada yupo so desperate.... Na hakuna kitu kibaya kama desperation hasa desperation of needing someone awe katika maisha yako na akuhandle the way wataka.... Kama ulivo sema waweza rukwa akili or kuishia vibaya kama huyo dada. Ni sawa na ile ya kusema you do not have a boyfriend then una hope utatongozwa soon.... That is so weak... na ni wazi kua ni lack of self esteem.

Hata hivo mapenzi hucheza nafasi katika maisha yako the way wewe wataka yacheze... Ukiyapa umuhimu saana kua yaendeshe maisha yako waweza haribu your whole system, familiy wise, work wise, health wise, na the like... Ukitaka wewe uweze ya control... na ndivo inavo takikana then umefaulu kwa kiasi kikubwa mno!

Kwa mapwenti ulonipa unaruhusiwa kuchachachua.... lol
 
Back
Top Bottom