AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
- Thread starter
- #41
Namshukuru sana Mungu kwamba mie ni BBC (Born before computers).....Hawa BAC (born after PC) wana matatizo sana na wanakosa mengi....may be wanapata mengi pia!!
Yaani hayo mambo ya mtandaoni, yatakuwezeshaje umwone Bibi DC anavyohangaika kukwepesha macho, kuandika kwenye udongo kwa kutumia herufi alizozigundua yeye au kutafuna kucha? Na yeye ataona wapi Babu anahangaika kuweka mambo sawa, mara kwa kuinama au kuweka mkono mufukoni??
Yaani sijui mzuka unatoka wapi katika mazingira ya PC!!!
Babu DC!!
Oh' hua napenda this side of you.....lol... hahahaha......
Siku hizi wawasiliana na mtu na mwaangaliana kupitia pc, hamjawahi onana wala hata hamko karibu, saa ingine you are thousands of miles away! Hii technology is the most accelarator ya ku depreciate kwa morals katika jamii like no other. I sometimes envy the women waliishi zamani, but sometimes I still think I have lived katika the Best times ambazo I could have lived na namshukuru Mungu kwa hilo....