Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
Aya sema .. Unavaaga ya rangi gani mtumishi?Amen!
Mnunulie ya rangi unayo taka, alafu ndipo uje uulizeInakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!
Eeeh... MakubwaBora mie nisiye vaa kbs
Ukweli chupi nyeupe zinaleta mvuto.Tukivaa nyeusi lawama, tusipovaa pia lawama. ..
[HASHTAG]#tusipangiane[/HASHTAG]
Ulimnunulia Nyeupe akakataa kuivaa?Inakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!
Inamaanisha HAPA KAZI TUlooh jembe na nyundo tena
inasaidia nn sasa
Wanajitahidi kwa kweli saivi ni makubwa vibamia wachache[emoji56]Eeeh... Makubwa
Mwanamke mweupe akivaa chupi nyeusi anapendeza sanaMwingine huyu haujui hata maana ya neno sexy, hakuna rangi ya chupi inayopandisha mzuka kama nyeusi!
Aiming on papuchi ventilation?Bora mie nisiye vaa kbs
ahaha kulima auInamaanisha HAPA KAZI TU
Na wewe utakuwa na asili ya uchafuWadada niwashauri kitu, kabla hujakubali kuwa na mtu kimahusiano jaribuni hata kudadisi tu uwezo wake wa kufikiri kiujumla, msikimbilie vifua, pochi au sura ya mauzo. Hiki kidubwana utakuta kikiwa huko na wavulana wenzie unakuta kinajitapa kweli kweli kumbe bure!
Unajua nin kuhusu chupi wewe mvulana? Unatuaibisha wanaume
Nguo za ndani za mwanamke heheheLingerie ndo nini.uku tukuyu VIP bado wanazo wake zetu.acheni utani mweeee