Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

Wadada niwashauri kitu, kabla hujakubali kuwa na mtu kimahusiano jaribuni hata kudadisi tu uwezo wake wa kufikiri kiujumla, msikimbilie vifua, pochi au sura ya mauzo. Hiki kidubwana utakuta kikiwa huko na wavulana wenzie unakuta kinajitapa kweli kweli kumbe bure!

Unajua nin kuhusu chupi wewe mvulana? Unatuaibisha wanaume
 
We mnunulie rangi unazozipenda uone kama hatavaaa!!!!!!
Mnajipa tu stress za kufikir kupoteza mb zako wakat mtuhumiwa Yuko kwenye 18 zako!!!!!!!!!
 
Ukiwa mweupe chupi nyeusi ndo mpango mzima mie naipenda mno ...
 
Wadada niwashauri kitu, kabla hujakubali kuwa na mtu kimahusiano jaribuni hata kudadisi tu uwezo wake wa kufikiri kiujumla, msikimbilie vifua, pochi au sura ya mauzo. Hiki kidubwana utakuta kikiwa huko na wavulana wenzie unakuta kinajitapa kweli kweli kumbe bure!

Unajua nin kuhusu chupi wewe mvulana? Unatuaibisha wanaume
Na wewe utakuwa na asili ya uchafu
 
Back
Top Bottom