jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
- Thread starter
-
- #81
Kaka/dada chupi ni sapraiz kwa mwanaume akiwa anaanza kuvua si unajua ukitupia jicho mwili unasisimka vibaya!!. Sasa ndo umekuta katupia cheusi duh hamu yote inaishia hapoUngemwambia mapema tu mkuu. Hata kwa sms "Baby mwanamke akivaa chupi nyeusi huwa mzuka unapotea kabisa!" Angejiongeza!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] but una macho ya kunyegeza weweMi mlokole huku hakunihusu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo kwenye mstari wa mwisho hapo ..... wewe mchokoziNyeusi inasharabu mwanga wa jua. So inaleta ujoto kunakuwa kwa moto.
Si mnapenda za moto eti.!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Bora mie nisiye vaa kbs
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] you're so funnyWanajitahidi kwa kweli saivi ni makubwa vibamia wachache[emoji56]
"chupi ya kitenge" [emoji118] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hiyo kaliAhahahaha naona we unataka demu wako avae chupi ya kitenge akijamba inatuna chupi nyeusi hata mi cpendi mwaya
Inakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!
Mimi mlokole mwenzako.. Twende zetu mwaya.Mi mlokole huku hakunihusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..nyeusi zina mvuto sana...bhna mie ninazo mbili ila swaga tofauti ni mzuka kishenzi.... au bibie wako anakuvaliaga yale ya kale[emoji23][emoji23]
Ohoooo ohoooo ohooooKaa na Bi-mkubwa wako akueleze akiwa na baba yako anavaliaga pichu ya rangi ipi?
Hamvaagi pichu?Mi mlokole huku hakunihusu