goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Sema inakukera wewe mkuu. Lkn siyo wote tunaokereka na chupi nyeusi hasa ikivaliwa na mwanamama mweupeeeeeee.Inakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!