Hapana....hawa wamezidi
ushakuwa victim somewhere si bure..
Hapana....hawa wamezidi
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.
Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.
Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.
Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.
Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.
Toa na wewe utafiti wako sio unasema wapo tuu.Tena uoe wa kimachame full maendeleo.Sasa uoe mwanamke wa....................?Huo mtazamo wangu tuu usijenge hoja.hivyo wataka kusema maendeleo yote uyaonayo nchi nzima ni wachaga? sivyo hata kidogo. fanya utafiti mzuri utaguandua kwamba wapo zaidi ya hao
Naona umeamua kuwapigia chapuo dada zako...wachaga wabaguzi sana,bora niwe single milele kuolewa na mchaga
Pole sana, kwann watu mnakuwa wagumu kuukubali u kweli? wachaga wangekuwa wababuzi kama unavyodai hakika wasingekuwa na maendeleo kamwe.
By the way polen sana mnaoumia kwa kuambiwa ukweeeeeeliiiii
wivu wa kike huu
Ok! Ngoja nianze kumtafiti Mzee Ben Nkapa, Sumaye, Regina Lowwasa, najua wake zao ni wachaga! then nitakuja na jibu hapa! ver soon
Kwani ma prof wengi sahiv si wachaga au nikupe takwimu tu za pale chuo kikuu...Aisee akili yenu ndogo sana.....kwa hiyo lipumba kuoa mchaga imekuwa big ishu...! Vipi maprofesa wanaofundisha vyuo nao wameoa wachaga?
Point of correction: Regina Lowasa ni mrangi siyo mchaga.
hawashindwi mkuu, badae watakuja, kwa kua imejulikana mrs lowasa sio mchaga watatuambia amekulia uchagan, hawa watu ni wa ajabu sana
Hakuna kitu nashangaaga hapa MMU kama hizi promo za hii ethinic group. Kunani?
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.
Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.
Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.
Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.
Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.
Hakuna kitu nashangaaga hapa MMU kama hizi promo za hii ethinic group. Kunani?
hawa jamaa mpaka wanakera yan utafikir wao wanaishi paradise, mxiuuuuu!