Matege
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 1,476
- 648
Hebu ona aibu......wivu wa kike kwa hiyo wanawake ndo wenye wivu tu?
we ni jinsia gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ona aibu......wivu wa kike kwa hiyo wanawake ndo wenye wivu tu?
kwani end product ya kuzini (kufanya ngono) ni nini?
huyo anayezaa ni mpaka afanye nini?
kama wewe siyo bikra hu deserve kuwa msichana..
That's according to ua own perception and not me
ni kweli tupu.ila umesahau ni ving'ang'aniz wa ndoa sana. 75% ya ndoa zinazofungwa Dar ni wanawake wa kichaga wanaolewa
:a s 27::a s 27::a s 27:princess acha kukaza shingo yako.
Elewa basi, na usijiite tena msichana kwa kiswahili kama huo usichana ulishaupoteza..
Kwa kiswahili usichana maana yake ni ubikra.
kama huna ur not msichana anymore..
Huku ninakoishi kwenye kila ma bar maid 10 sita ni hao form six na kuuza wanauza
princess acha kukaza shingo yako.
elewa basi, na usijiite tena msichana kwa kiswahili kama huo usichana ulishaupoteza..
kwa kiswahili usichana maana yake ni ubikra.
kama huna ur not msichana anymore..
Aisee akili yenu ndogo sana.....kwa hiyo lipumba kuoa mchaga imekuwa big ishu...! Vipi maprofesa wanaofundisha vyuo nao wameoa wachaga?
kuwa msichana au kutokuwa msichana hakuusiani na uwepo wa bikra..msichana hubadilika na kuwa mwanamke pale tu anapokua...na haihusiani na kutolewa kwa bikra au la
Huku ninakoishi kwenye kila ma bar maid 10 sita ni hao form six na kuuza wanauza
wivu wa kike huu
Bila shaka miss chagga kasuuzika na hii thread make kila siku ni kusemwa tu hawajui mambo....
Huyo form six wenu mmoja niko nae ananifanyia kazi japo apate nauli aludi kwao............
Alikimbilia huku kisa alisikia kuna biashara hakujua huku kila kitu lazima afuate sheria
Huyo form six wenu mmoja niko nae ananifanyia kazi japo apate nauli aludi kwao............
Alikimbilia huku kisa alisikia kuna biashara hakujua huku kila kitu lazima afuate sheria
Sio lazima uchangie. Ungepita kimyakimya tu.thread ya kipumbavu sijaona, sijui wa wapi wewe. watanzania hatuko hivyo hata kidogo
Makabila mengine yanakuwa wapi?
nimeandika kiujumla mkuu, nikitaka kudhibitisha itanilazimu nianze kuzungumza juu ya maisha ya watu moja kwa moja.
nimebahatika kuishi sehemu mbali mbali za nchi yetu ya tanzania,
juzi hapo nilikuwa mwanza pale kuna wahamiaji wengi sana wakichagga hasa wanaotoka maeneo ya machame..
both males and females.
sasa karibia wanaume wengi waliooa wanawake wasio wachaga kwa pale mwanza wako tofauti,
wengi stuggle zao ni ngumu.
wanafight with less help kutoka kwa wenzi wao.
na kwa wale wanawake wakichaga walioolewa na wasio wachaga wamesimama imara kuhakikisha maendeleo ya familia hayaendi chini.
hata kama waume zao ni employed workers, they real fight.
kuna jamaa hapo juu kauliza juu ya nafasi ya mwanamke katika maendeleo ya mwanaume, hili liko wazi kabisa.
Mke wako ana nafasi kubwa sana katika maendeleo yako.
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.
Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.
Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.
Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.
Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.