Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

Hapana....hawa wamezidi

hahahaha unaogopa kuitwa Chasaka!!! hamna siku hizi wamepunguza coz hata nao wanajichanganya sana wanaoa na kuolewa na makabila mengine, ila nimekuja kugundua hata wao kwa wao hawapendani wanabaguana,kuna wachaga wengine ni mwiko kabisa kuoa au kuolewa na mchaga wa sehemu fulani.
 
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.

Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.

Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.

Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.

Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.

hivyo wataka kusema maendeleo yote uyaonayo nchi nzima ni wachaga? sivyo hata kidogo. fanya utafiti mzuri utaguandua kwamba wapo zaidi ya hao
 
Toa na wewe utafiti wako sio unasema wapo tuu.Tena uoe wa kimachame full maendeleo.Sasa uoe mwanamke wa....................?Huo mtazamo wangu tuu usijenge hoja.
 
Pole sana, kwann watu mnakuwa wagumu kuukubali u kweli? wachaga wangekuwa wababuzi kama unavyodai hakika wasingekuwa na maendeleo kamwe.

By the way polen sana mnaoumia kwa kuambiwa ukweeeeeeliiiii

Naona umeamua kuwapigia chapuo dada zako...wachaga wabaguzi sana,bora niwe single milele kuolewa na mchaga
 
Pole sana, kwann watu mnakuwa wagumu kuukubali u kweli? wachaga wangekuwa wababuzi kama unavyodai hakika wasingekuwa na maendeleo kamwe.

By the way polen sana mnaoumia kwa kuambiwa ukweeeeeeliiiii

inferior among giants used to shout to be known
 
Ok! Ngoja nianze kumtafiti Mzee Ben Nkapa, Sumaye, Regina Lowwasa, najua wake zao ni wachaga! then nitakuja na jibu hapa! ver soon

Point of correction: Regina Lowasa ni mrangi siyo mchaga.
 
Aisee akili yenu ndogo sana.....kwa hiyo lipumba kuoa mchaga imekuwa big ishu...! Vipi maprofesa wanaofundisha vyuo nao wameoa wachaga?
Kwani ma prof wengi sahiv si wachaga au nikupe takwimu tu za pale chuo kikuu...
 
hawashindwi mkuu, badae watakuja, kwa kua imejulikana mrs lowasa sio mchaga watatuambia amekulia uchagan, hawa watu ni wa ajabu sana

Hakuna kitu nashangaaga hapa MMU kama hizi promo za hii ethinic group. Kunani?
 
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.

Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.

Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.

Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.

Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.

Maendeleo unayoyasema yakionekana ni juhudi zake wewe itakuwa R.I.P
 
Back
Top Bottom