Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

ila bila majungu wanawake wa kichaga wana akili sana za maisha..

nina rafiki yangu ana mdada wa kinyaturu kazaa nae watoto wawili..

hajasimama kimaisha kivile anaunga unga tu.. ila mdada mama wa watoto wawili anang'ang'anja harusi kubwaaa...

jamaa amemwambia harus anayoitaka yeye haina sherehe yeyote maana hana pesa za kurisk maana watoto wanahitaj ada lazima ajiandae nao...

ila.mwanamke haelewi.. na ndugu wa mwanamke nao wamekomaa wanataka harusi eti..

siamini huyo mwanamke angekuwa mchaga mama wa watoto wawili angekuwa na akili fupi za kuwaza sherehe kiasi hiki... ama ndugu zake wachaga wangekomaa kutaka sherehe kubwa wakati wanajua mumewe anaunga unga

wachaga ni smart sana ndio maana wana maendeleo
 
Aisee
 
Tatizo wanawake wa kichaga ni wababe sana, hawashauriki.

Pia hawawezi kumpenda mtu kutoka rohoni ila wanampenda mtu kwa kile alichonacho.
[emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
!
!
Ni kweli. Kuna mwanamke niliacha a nae miaka hiyooo nilimuacha of kozi na alikuwa ananiambia hataki kupeleka mtoto kliniki kwa mguu. Guess what..... Simaliziii. Angel I miss you, I wish ningekuwa nawe hadi leo
 
[emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wachawi huko na firauni kibao?? kama nimelogwa na mwanamke wa kichaga basi sina imani nao tena mtoto mdogo??? wachaga ni zaman sio sasa wanafunuliwa hadi uwani. zile picha zilizokua zin zinasambaa hukuzuliona yule mwanamke wa mamba???
Mwanamke wa Mamba ipi?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…