shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
ila bila majungu wanawake wa kichaga wana akili sana za maisha..
nina rafiki yangu ana mdada wa kinyaturu kazaa nae watoto wawili..
hajasimama kimaisha kivile anaunga unga tu.. ila mdada mama wa watoto wawili anang'ang'anja harusi kubwaaa...
jamaa amemwambia harus anayoitaka yeye haina sherehe yeyote maana hana pesa za kurisk maana watoto wanahitaj ada lazima ajiandae nao...
ila.mwanamke haelewi.. na ndugu wa mwanamke nao wamekomaa wanataka harusi eti..
siamini huyo mwanamke angekuwa mchaga mama wa watoto wawili angekuwa na akili fupi za kuwaza sherehe kiasi hiki... ama ndugu zake wachaga wangekomaa kutaka sherehe kubwa wakati wanajua mumewe anaunga unga
wachaga ni smart sana ndio maana wana maendeleo