Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.
Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.
Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.
Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.
Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.
haaaaas.. Khantwe!!!!
Mmeanza ukabila
Hahahah Eli79 unashangaa nini? Mtu anasema mwanamke mmoja wa kichaga ni sawa na wanawake 10 wa kisambaa WENYE AKILI TIMAMU! Na ndivyo wanavyowaza vichwani mwao.... Nimeshaona ndoa nyingi za kutosha za watu wa makabila mengine wanaoolewa na wachaga jinsi wanavyonyanyapaliwa.... Haiwezi kutokea hata kwa bahati mbaya kwa kweli
Naona umeamua kuwapigia chapuo dada zako...wachaga wabaguzi sana,bora niwe single milele kuolewa na mchaga
Mada za kibaguzi
Hahaaa..
nimekumbuka siku moja nilikua Dodoma vijijini, tuko na jamaa yangu (mchaga) kuna mradi tulikua tunapeleka huko ugogoni, kiukweli jamaa hawakua wanatoa ushirikiano wakati ule mradi ulikua kwa manufaa yao. Kila kazi wanataka walipwe, walikua wako radhi wasimame siku nzima kukuangalieni mkiwajibika kuliko kusogeza hata tofali.
Basi jamaa akawaambia, "Uwepo wa wagogo duniani ni sawa na uwepo wa magugu shambani, USELESS!!! "...Halafu akamalizia "Hawa watu bure kabisa" ..hii ilizua utata pale site, mpaka serikali ya kijiji ikaingilia kati.