Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

Tembosa..nah, nehi, nope bhana!!..
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa ukioa mchagga, ujue ni graduate wa ubaguzi, udini, wizi, uchoyo kwa ndugu zako, uroho, roho mbaya,ushamba, ukichaa na uwezo mdogo wa kuchambua masuala kwa kutumia global perception badala ya chagga perception.
 
heeeee
haya bana.. Asprin Mentor na makaka's wengine hebu pitieni hapa kuna watu wahitaji kupeleka posa kule migombani.

by the way.. kwa post yako ndugu mie ina maana nina PHD .. walahi itakuwa too much kwangu angrrrrr!

kwani sasa hivi una nini?
 
Last edited by a moderator:
haaaaas.. Khantwe!!!!

Hahahah Eli79 unashangaa nini? Mtu anasema mwanamke mmoja wa kichaga ni sawa na wanawake 10 wa kisambaa WENYE AKILI TIMAMU! Na ndivyo wanavyowaza vichwani mwao.... Nimeshaona ndoa nyingi za kutosha za watu wa makabila mengine wanaoolewa na wachaga jinsi wanavyonyanyapaliwa.... Haiwezi kutokea hata kwa bahati mbaya kwa kweli
 
Last edited by a moderator:

...aliyesema hivyo ana tatizo pia!
kunyanyapaliwa kupo popote, mfano ukienda huko kwetu wanasema usijaribu kutuletea mnyakyusa..why?..mie hata sielewi kwa nini hadi karne hii bado tunaangalia vitu vya namna hiyo!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa..

nimekumbuka siku moja nilikua Dodoma vijijini, tuko na jamaa yangu (mchaga) kuna mradi tulikua tunapeleka huko ugogoni, kiukweli jamaa hawakua wanatoa ushirikiano wakati ule mradi ulikua kwa manufaa yao. Kila kazi wanataka walipwe, walikua wako radhi wasimame siku nzima kukuangalieni mkiwajibika kuliko kusogeza hata tofali.

Basi jamaa akawaambia, "Uwepo wa wagogo duniani ni sawa na uwepo wa magugu shambani, USELESS!!! "...Halafu akamalizia "Hawa watu bure kabisa" ..hii ilizua utata pale site, mpaka serikali ya kijiji ikaingilia kati.
 

ha ha ha ha umesahahu aiseee chali ila kweli wagogo wavivu sana..alafu walalamishi sana
 
Dahhhh kuna kabila la kirangi linanikeraaaaaaa..wavivu na uswahili mwingiiiii...mm mangi siewezi oa mrangi....okohfyakaaaaaaaa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…