Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

Mimi kabila langu mwanaume akioa mchaga inakuwa kama umeingiza LAANA kwenye ukoo. Sijui kuna kisa gani cha kihistoria but kuoa mwanamke wa kichaga unatengwa na familia. Inadaiwa Ni washirikina sana, wanapiga limbwata wanaume wanakuwa mazuzu ikifika December wanakimbilia kurekebisha migombani wakati kwao choka mbaya.

Pia sio wachaga wote mambo safi, mangi fundi viatu wangu hapa mtaani mke wake anauza mbege na wote choka mbaya.
Mwanaume wa kweli hawezi kuoa mwanamke kwa kutegemea mkewe atakuwa chachu ya kupata hela, unaoa kwa kuangalia urembo, performance nzuri kitandani na watoto wazuri atakaoleta mkewe, sio vile vimiguu kama mkia wa bamia
 
hvi wachaga c ndo awa naskia wanaua waume zao ili wajimilkshe mali
 
wachaga ni wayahudi weusi... sio tu Tanzania bali hata east and central Africa wanasifika.... Lipumba mwenyewe na uprefesa wake pamoja nakuwa muislamu aliamua kabisa kuoa mchaga (Regina Mtenga), ina maana huko tabora hakuona wanyamwezi au wanyaturu wa singida? mpaka akaamua kwenda kilimanjaro? Je? unafikiri wewe unaakili kuliko prof Lipumba? Vip kwa mzee mkapa? ye alitoka msumbiji kabisa kwa wamakonde akaamua kuwaacha mabinti wa kingoni ambao mnawasifia kwa kukata mauno akaona isiwe tabu ngoja niende uchagani. Je unafikiri we unaakili kuliko mkapa ambaye ni raisi wa tatu wa bongo?..... Vip kwa lowassa, sumaye!!!!!! Do u think it could be a matter of coincidence? No it isn't,there should be facts behind these dubbed black jews from Africa...:A S wink:
 
jinsia ni ke! sawa ila ujue kama umeshapoteza usichana wako(bikra) usijiite msichana ushakuwa mwanamke...

Aise nilikuwa cfahamu mwanamke si aliye na mtoto ndo ana qualify kuwa mwanamke from what i know
 

ukiwambia ukweli wanasema umewashfu lakin wao kudharau makabila mengine ni sawa tu
 

sipati picha kama prof lipumba angekua mchaga ingekuaje, maana kuoa mchaga tu mshaanza kujisifu hvo, vipi ma profesor wengine kma kapuya, mwandosya, na marais kama kijwete, nyerere na mwinyi vp na wao walioa mchaga?
 

wivu wa kike huu
 
mwambie wewe mana nikisema mimi anasema namtukana, ndo mana anatetea kumbe hajaolewa kumbeee

Hvi mnajua kutofautisha kati ya msichana na mwanamke kila.mtu na perception yake even geting married ni big deal kwa wengne lakn wengne hawa maind kivle sasa wewe ndo ulianza kutoa lugha ambayo cio nzuri.kwanini hu ku comment kistarabu tu bila kuita majna ya ajabu
 

Aisee akili yenu ndogo sana.....kwa hiyo lipumba kuoa mchaga imekuwa big ishu...! Vipi maprofesa wanaofundisha vyuo nao wameoa wachaga?
 
Huku ninakoishi kwenye kila ma bar maid 10 sita ni hao form six na kuuza wanauza
 
Aise nilikuwa cfahamu mwanamke si aliye na mtoto ndo ana qualify kuwa mwanamke from what i know

kwani end product ya kuzini (kufanya ngono) ni nini?
huyo anayezaa ni mpaka afanye nini?
kama wewe siyo bikra hu deserve kuwa msichana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…