Kimilidzo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 1,346
- 625
Mimi kabila langu mwanaume akioa mchaga inakuwa kama umeingiza LAANA kwenye ukoo. Sijui kuna kisa gani cha kihistoria but kuoa mwanamke wa kichaga unatengwa na familia. Inadaiwa Ni washirikina sana, wanapiga limbwata wanaume wanakuwa mazuzu ikifika December wanakimbilia kurekebisha migombani wakati kwao choka mbaya.
Pia sio wachaga wote mambo safi, mangi fundi viatu wangu hapa mtaani mke wake anauza mbege na wote choka mbaya.
Mwanaume wa kweli hawezi kuoa mwanamke kwa kutegemea mkewe atakuwa chachu ya kupata hela, unaoa kwa kuangalia urembo, performance nzuri kitandani na watoto wazuri atakaoleta mkewe, sio vile vimiguu kama mkia wa bamia