Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

That's according to ua own perception and not me

princess acha kukaza shingo yako.
elewa basi, na usijiite tena msichana kwa kiswahili kama huo usichana ulishaupoteza..
kwa kiswahili usichana maana yake ni ubikra.

kama huna ur not msichana anymore..
 
princess acha kukaza shingo yako.
Elewa basi, na usijiite tena msichana kwa kiswahili kama huo usichana ulishaupoteza..
Kwa kiswahili usichana maana yake ni ubikra.

kama huna ur not msichana anymore..
:a s 27::a s 27::a s 27:
 
kuwa msichana au kutokuwa msichana hakuusiani na uwepo wa bikra..msichana hubadilika na kuwa mwanamke pale tu anapokua...na haihusiani na kutolewa kwa bikra au la
princess acha kukaza shingo yako.
elewa basi, na usijiite tena msichana kwa kiswahili kama huo usichana ulishaupoteza..
kwa kiswahili usichana maana yake ni ubikra.

kama huna ur not msichana anymore..
 
Aisee akili yenu ndogo sana.....kwa hiyo lipumba kuoa mchaga imekuwa big ishu...! Vipi maprofesa wanaofundisha vyuo nao wameoa wachaga?

mkuu hawa watu ni hatari, basi hapo wameona ni bonge la sifa, aise nimecheka sana nilipoona mtu anajisifia uchaga et kwa sababu lipumba ameoa kwao
 
kuwa msichana au kutokuwa msichana hakuusiani na uwepo wa bikra..msichana hubadilika na kuwa mwanamke pale tu anapokua...na haihusiani na kutolewa kwa bikra au la

Asante kwa information nzuri mana kang'ang'ania huyo hajui kutofautisha
 
Huku ninakoishi kwenye kila ma bar maid 10 sita ni hao form six na kuuza wanauza

alaf unakuta meneja wa bar ni kabila lingine, na ndio anampa mshahara sasa cjui iyo form six yake inamsaidia vipi
 
Huyo form six wenu mmoja niko nae ananifanyia kazi japo apate nauli aludi kwao............
Alikimbilia huku kisa alisikia kuna biashara hakujua huku kila kitu lazima afuate sheria
 
We uliyesema vimiguu kama bamia umenichekesha! Lakini viko faster kutafuta fedha siyo miziiito kama ya wanyamwezi! Vimiguu vya kichagga oyeeee!
 
Huyo form six wenu mmoja niko nae ananifanyia kazi japo apate nauli aludi kwao............
Alikimbilia huku kisa alisikia kuna biashara hakujua huku kila kitu lazima afuate sheria

Hahahahah....walah umeua
 
Huyo form six wenu mmoja niko nae ananifanyia kazi japo apate nauli aludi kwao............
Alikimbilia huku kisa alisikia kuna biashara hakujua huku kila kitu lazima afuate sheria

[MENTION]tinna cute [/MENTION]Naomba kiondoka nishtue nije mimi wala sihitaji mshahara. Nina hamu ya kuja ng'ambo kweli.
 
Wewea huo utafiti kwa pale mwanza umeufanya lini???, make kati ya makabila ambayo yanahisia mbaya kwa wanawake wa kichaga ni kabila la WASUKUMA,Wasukuma wanaamini kabisa kuwa wanawake wa kichaga ni killers wa waume zao ikitokea wamepata mali.Mleta maada unaweza kuniambia ni matajiri wangapi waliopo mkoani mwanza waliooa wachaga na ni matajiri wangapi waliopo pale MWANZA waliooa kabila tofauti na wachaga na wanaendelea kutajirika??????.
 
Sina shida na wanaume wa kichagga, ila kiukweli wadada wa kichagga ni mabingwa wa kuwatoa roho waume zao huku mtaan kwetu kuna wamama wawili tofauti wa kichagga waliolewa na wanaume wenye uwezo kifedha walivyoona mambo yako bambam wote kwa ma2kio tofauti m1 alimchoma kisu mumewe. Mwingine alimpa sumu mumewe huyu wa sumu uchunguz ulifanyika kwanza ila badae ikathibitika ni yeye aliyefanya tukio...pili huwa wanapenda vya kuelea hawajui vimeundwa..wanapenda sanaaa kuolewa na wanaume ambao tayari wako vizuri kifedha, inshort wana tamaa ya hela sana, pia wana roho mbayaaaaaaaaaaaa sana na ni wabinafsi wanapenda sana vya kupewa ila wao ni wagumu sana, na hawawezi kubadilika kamwe...! Usiwashawishi kaka ze2 waoe majanga bado tunapenda kuwaona wakiishi na malengo yao kutimia...take care my brothers hizi ni promo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…