Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

Pengine ni kweli unenayo japo cina uhakika;ingawa kwenye thread yako umeongelea upande mmoja tu wa maendeleo;kumbuka kuwa mapenzi ya dhati ndio kila kitu katika nyumba na mkiwa na upendo wa kweli katika nyumba mtapata zaidi ya kile mnachotazamia;nyumba,gari,pesa na vyote mtavipata ikiwa mna upendo wa dhati.mimi niko kaskazini na ni mojawapo ya makabila hayo;most ya wanawake wa huku wanapenda sana kuangalia pesa wakati mapenzi ni zero.yaani kwao mapenzi ni kitu cha pembeni sana;na hivyo ikitokea mwanaume amedondoka kidogo kimaendeleo mara nyingi huanza dharau na usipokaa sawa anaweza kujiwekezea mali zake yeye mwenyewe bila mwanaume kujua;take care
nb;
simaanishi wanawake wote wa kaskzini ila ni baadhi;
 

Hahahaha!! Huu ni uongo mtupu,tupo hapa tumeolewa na wachaga maisha safi kila uchao,kaka zake my hubby walioa wachaga wenzao kila siku ngumi maisha doro wanadidimia,hadi vitu vingine wanaenda kuficha kwa watu ili mke asiteketeze vyote, na kila siku wanampa big up dogo lao kwa kuoa kabila lingine.

Pole weeee!!! Ndoa si kabila omba Mungu upate mtu sahihi kwako.
 
Leo nimepata majibu ya maswali 2:Ni kwanini wachaga huwaua waume zao?Wachaga wana UKABILA Sana?
 

Hapo kwenye red ile mijiwanaume migomvi kila kukicha watakataa ila mimi nasema huu ni ukweli usiopingika. Ukiwa na mke wa kujirusha vilabu you're gone, mke malaya you're gone, mke fasheni you're gone. Lakini ukiwa na mke ambaye yuko focused na mwenye foresight hakuna jinsi utashindwa kusonga mbele hata kama men ata lag behind ataburuzwa kwa nguvu na hatimaye ku take off mbele kwa mbele. Nina living evidence kadhaa.
 
Wanawake wa kichaga ni wazuri ktk kutengeneza mazingira ya kuolewa.Wanaangalia elimu,mali,kazi au pato la mwanaume ndio wanajiweka hapo sio hivi hivi tu.Akiisha ingia ktk ndoa basi mume ataziona rangi zote hata asizozijua!
 

Umeongea pwenti Sana dada yangu, tatizo sio wanaume wa kichagga, ni wanawake wa kichagga. Sisi tunawatambua kwa miguu yao tu unajua hapa choo cha kike ngoja nipige mara mbili akianza kuniita "hubby" hata posa sijapeleka uchagani nakula kona. Pita maofisi mengi Tanzania, wanawake wengi 35 and above ambao hawajaolewa ni wachagga, na kuwatafuna rahisi sana unaficha pete ya ndoa wanakushobokea unakula vitu then spidi 120 shaaaaaaa
 

Aisee una moyooo....kuolewa na mchaga...!
 

Hahahahaha!!!!
cc: Tembosa
 
Last edited by a moderator:
Aisee una moyooo....kuolewa na mchaga...!

best yangu wala usitishike kabisa hakuna mkate mgumu mbele ya chai! mie mwanzoni nlikuwa siwapendi kama nini Mungu akasema hapohapo ndo ubavu wako ulipo, acha kabisa upate mtu sahihi kwako tu mengine mbwembwe tu!!!!
 
best yangu wala usitishike kabisa hakuna mkate mgumu mbele ya chai! mie mwanzoni nlikuwa siwapendi kama nini Mungu akasema hapohapo ndo ubavu wako ulipo, acha kabisa upate mtu sahihi kwako tu mengine mbwembwe tu!!!!

Unaweza ukakubalika kwa mumeo lakini kwa ndugu zake usikubalike.... Wengine wanadai haihusu mana ndoa ni ya wawili lkn si kweli....ukiolewa na mtu maana yake umeshajiunga na ukoo wake na ndio wanatakiwa wawe ndugu zako haswaa sasa kama wasipikukubali utaishi kwa amani? Hakuna kitu nnakipenda maishani kama amani ya nafsi...mengine ziada tu.
 
Huyo form six wenu mmoja niko nae ananifanyia kazi japo apate nauli aludi kwao............
Alikimbilia huku kisa alisikia kuna biashara hakujua huku kila kitu lazima afuate sheria

duh na form six yake! ina maana form six yake haijamsaidia mpaka anahangaika hvo?
 

hayo yakutopendwa na ndugu yapo kila kabila best yangu.
 


Hasa kama kapitia zile kozi za Kiborolonyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…