CRISTA
Member
- Aug 5, 2012
- 80
- 33
Pengine ni kweli unenayo japo cina uhakika;ingawa kwenye thread yako umeongelea upande mmoja tu wa maendeleo;kumbuka kuwa mapenzi ya dhati ndio kila kitu katika nyumba na mkiwa na upendo wa kweli katika nyumba mtapata zaidi ya kile mnachotazamia;nyumba,gari,pesa na vyote mtavipata ikiwa mna upendo wa dhati.mimi niko kaskazini na ni mojawapo ya makabila hayo;most ya wanawake wa huku wanapenda sana kuangalia pesa wakati mapenzi ni zero.yaani kwao mapenzi ni kitu cha pembeni sana;na hivyo ikitokea mwanaume amedondoka kidogo kimaendeleo mara nyingi huanza dharau na usipokaa sawa anaweza kujiwekezea mali zake yeye mwenyewe bila mwanaume kujua;take care
nb;
simaanishi wanawake wote wa kaskzini ila ni baadhi;
nb;
simaanishi wanawake wote wa kaskzini ila ni baadhi;