Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muktadha huu ina maana kwa binti aliyesoma hadi kidato cha nne ni Profesa kabisa...sikiliza ndugu
Kwa wakati na zama tunazoishi sasa ni mtu mwenye ram ndogo kichwani tu anayeweza kuishi kutegemea historia...
Utakubaliana nami kwamba mafanikio na kutokufanikiwa kwa mtu ni kutokana na kutokuwa na vipaumbele kwenye mambo yake ya kila siku na ikiwa ana mipangilio basi ni ile ya bora siku ziende...
Tasnifu yako imekaa kiujumla sana na sampuli ulizotumia nadhani ni mbili kutoa mawazo yako haya...
Ni vyema wakati mtu anatafuta mwenza akawa na sababu za ni mwenza wa aina gani anataka...unaweza kumlaumu mwenzio kwamba amekosa maendeleo kwa kuwa kaoa mwanamke mpenda disco,usichokijua ni kwamba lengo la huyu bwana ilikuwa kuishi na dancer! Oa hata benki kama inaoleka,ila kama huna discipline ya maisho uone utaishia vipi...
I hate You mtoa mada!!!!
Ninamashaka na ufahamu wako. Natamani niongee mengi lakini naomba nikuhurumiw niishie hapa ila kwa ujumla umenikwaza.
Tulozaliwa mikoa ya kusini huku tuko level gani?
Safi mkuuHabar za songea Mkuu