Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

I hate You mtoa mada!!!!
Ninamashaka na ufahamu wako. Natamani niongee mengi lakini naomba nikuhurumiw niishie hapa ila kwa ujumla umenikwaza.
 
Mliokombolewa namna hiyo mko wachache sana.....unaweza kukubalika kwa wachache then wengine wote wakakuchukia...hakuna kitu nnakipenda maishani kama peace of mind
Kwetu sisi sio wabaguzi....tena sisi tunaoana sana na wanyakyusa ungejua maana tamaduni zetu zinaendana kwa sehemu...

Wewe ni wa wapi kwani???

Sent from my BlackBerry 9720 using JamiiForums
 
Kwa muktadha huu ina maana kwa binti aliyesoma hadi kidato cha nne ni Profesa kabisa...sikiliza ndugu

Kwa wakati na zama tunazoishi sasa ni mtu mwenye ram ndogo kichwani tu anayeweza kuishi kutegemea historia...
Utakubaliana nami kwamba mafanikio na kutokufanikiwa kwa mtu ni kutokana na kutokuwa na vipaumbele kwenye mambo yake ya kila siku na ikiwa ana mipangilio basi ni ile ya bora siku ziende...

Tasnifu yako imekaa kiujumla sana na sampuli ulizotumia nadhani ni mbili kutoa mawazo yako haya...
Ni vyema wakati mtu anatafuta mwenza akawa na sababu za ni mwenza wa aina gani anataka...unaweza kumlaumu mwenzio kwamba amekosa maendeleo kwa kuwa kaoa mwanamke mpenda disco,usichokijua ni kwamba lengo la huyu bwana ilikuwa kuishi na dancer! Oa hata benki kama inaoleka,ila kama huna discipline ya maisho uone utaishia vipi...

Jamiiforum ikiwa na watu kama wewe 20, inarud ilikotoka,.
Kwa upande wangu mm sioni haja ya kuoa kabila instead mwanamke ambaye anajua akifanya hiki leo kesho kitakuwa na impact gan katika maisha ya wafimilia, as u said atakayejal plans na vipaumbele.
 
Hakuna Ukweli wowote juu ya hii maada. Maendeleo ya kifamilia na kitaifa kwa ujumla hayategemei kabila fulani.
 
I hate You mtoa mada!!!!
Ninamashaka na ufahamu wako. Natamani niongee mengi lakini naomba nikuhurumiw niishie hapa ila kwa ujumla umenikwaza.

hahahaaa bila shaka walikufanya mbaya
 
Kwa hiyo mwanamke wako wa Kichaga amekushikia bastola hapo ili utuandikie huu utumbo eeh? Any way, its your opinion, there is neither wrong or right opinion!
 
Hawa wachagga mna wa overestimate tu, hawana lolote, maisha yao ni kubebana na wengi wao ni mabingwa wa kuforge vyeti, majority waliendelea enzi zile kwa kuwa walikuwa makauzu, hawachagui kazi, ambazo wa mjini waliziona ni kujishusha, plus uwizi, niambie mchagga gani sasa hivi ambaye ni shoe shine ana hata kibanda, au mchagg gani mwenye kiduka ambaye ana kibanda kama wale wa enzi za mwalimu jk?,hawa wa sasa ni kuku wa mayai wote wasiwatishe hawana lolote.
 
Zamani ilikuwa very rare kukuta dada wa kichagga anamshobokea mtu asiye kabila Lake, nowadays wanafukuzia mpaka warundi, kisa ka ka zao hamna kitu na shughuli hawawezi
 
Huu ni ukweli aisee wanawake wa kichaga hata mimi nawapa big up sana.
 
Rudi nursery kwanza ukasome ndo upost
 
Back
Top Bottom