Hehe unautani na watu na kabila lao dada!MMAHE
Ntwara moja. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna wafaransa nao wana matamshi mabaya kwa lugha yetu!.
Wacha weeee. Naona mmependelewa maana si majina matam matam kuyatamka kiasi hicho.Banati pia Hurlaiini,πππ, Na kule kwetu kwingine je? Kule unapoitafuta Zingibi kule. Najua salamu ni "Ukaramkadze mwenehu" ila mwanamke wanamwitaje sasa?
Hahahaaa. Acha tu kaka.Hehe unautani na watu na kabila lao dada!
Mdomo wangu umebaki wazi.....basi kilugha chenu ni KiintaneshnoHuku kwetu tunaita "Joketi"
Ukaramkadze mchetu, teeeπππ, bora nipewe tuition nisije kutukana lughangwaWacha weeee. Naona mmependelewa maana si majina matam matam kuyatamka kiasi hicho.
Hahaaa. Unasemea kuleee eee[emoji12] [emoji12] [emoji12] huwa wanamwita MCHETU. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
CC. 1kush africa.
Wewe si umenukuu tu mkuu? Huna lawamaChudaa
Jina lako lina maana kubwa sana , hongera zako mpendwaundertwentyboy
Hiyo lugha ni almaarufu maeneo ya new DC.... tehteehhhMdomo wangu umebaki wazi.....basi kilugha chenu ni Kiintaneshno
Haijawahi tokea hii mkuu,hata Washington DC wanasubiri kwa lugha hii ya wana New DC, mpaka sasa sijaamini aiseeHiyo lugha ni almaarufu maeneo ya new DC.... tehteehhh
Wa kaya iweMndee
Hahaahaaa......Haijawahi tokea hii mkuu,hata Washington DC wanasubiri kwa lugha hii ya wana New DC, mpaka sasa sijaamini aisee
Umbuje ha ongaMndee
Hujakosea hata Sesten. Yabidi nijitolee kukupa hiyo tuition kwa kweli.Ukaramkadze mchetu, teeeπππ, bora nipewe tuition nisije kutukana lughangwa
πππHahaahaaa......
Mdomo wangu umebaki wazi wallah....ππ©π©
Nitakua mtu wa ajabu sana kukataa hii offer kwakweliπππHujakosea hata Sesten. Yabidi nijitolee kukupa hiyo tuition kwa kweli.
Kila siku ukimaliza kazi zako uwe una kujapo basi nianze kukufundisha.ππππ