Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

Banati pia Hurlaiini,😛😛😛, Na kule kwetu kwingine je? Kule unapoitafuta Zingibi kule. Najua salamu ni "Ukaramkadze mwenehu" ila mwanamke wanamwitaje sasa?
Wacha weeee. Naona mmependelewa maana si majina matam matam kuyatamka kiasi hicho.

Hahaaa. Unasemea kuleee eee[emoji12] [emoji12] [emoji12] huwa wanamwita MCHETU. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

CC. 1kush africa.
 
Ukaramkadze mchetu, teee😛😛😛, bora nipewe tuition nisije kutukana lughangwa
 
Hujakosea hata Sesten. Yabidi nijitolee kukupa hiyo tuition kwa kweli.
Kila siku ukimaliza kazi zako uwe una kujapo basi nianze kukufundisha.😂😂😂😂
Nitakua mtu wa ajabu sana kukataa hii offer kwakweli😛😛😛

Niambiwe tu hili darasa litakua mahala gani haswa nami nitakuja nikiwa mwanafunzi mtiifu afuatae amri zako
 
Back
Top Bottom